Recent content by MINENE BOY

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    umeanza vizuri kujenga hoja zako, hongera kwa hilo. Lakini unajaribu kutuaminisha Wamasai siyo watanzania ni wakenya hapa ndipo wasiwasi wangu unapoanzia. Tujengeni hoja zetu kwa namna yoyote ile lakini tusithubutu kuukana utanzania wao kwa kuhalisha hoja zetu
  2. M

    JamiiForums Tanzania RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda

    Kuwa wapenzi siyo utetezi wa kumuingilia mtu kinyume na maumbile. Hata kama angekuwa mke wake hairuhusiwi kisheria. Pia, kwa mjibu wa maelezo ya binti, Rc alimuingilia kinguvu (alibaka).
  3. M

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Uchaguzi wa 2020 niliwekewa Sumu kwenye Chakula (Kitimoto) lakini namshukuru Hayati Membe aliingilia Kati

    Sasa hapo Msigwa ameingiaje, maana steeve alipata zero vote kwenye kura za maoni ndani ya chama cha Ccm, wala hakuwa mshindani wa Msigwa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

    R.I.P Thadei Ole Munishi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo la CDF Lituamshe Kama Nchi na Turudi kwenye Misingi ya Ulinzi na Usalama

    Kheri za mwaka mpya wanajukwaa! Nimeona na mimi kama mtanzania niungane na CDF kutafakari kwa kina hali ya ulinzi na usalama nchini. Naomba niingie moja kwa moja kwenye mada yangu kama inavyojieleza. Ulinzi na usalama wa taifa ni jambo la muhimu kuliko kingine chochote kwenye taifa letu, na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mauaji yamezidi kuongezeka nchini?

    Nakubaliana na wewe mkuu, kunafukuto lingine liko huko mkoa wa Simiyu, polisi wameua kijana mmoja lakini viongozi wanatumia nguvu kubwa kufunika mwanaharamu apite, ni wiki sasa ndugu nao hawataki kuzika mwili wa mpendwa wao.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Kiundwe Chombo kingine cha kuchunguza Jinai zinazofanywa na polisi

    Naomba niingie kwenye Mada moja kwa moja. Kutokana na malalamiko ya wananchi kutendewa unyama na jeshi la polisi sehemu mbalimbali za nchi, kama vile raia kuuwawa vituo vya polisi, raia kubambikwa kesi n.k. Napendekeza kiundwe chombo kingine cha kuchunguza jinai zinazofanywa na jeshi la polisi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini inakuwa ngumu kubadilisha hata nukta kwenye huu mkataba ulioandaliwa na Hamza Johari kuhusu bandari zetu?

    Je HGAs zinaweza kukiuka au kuwa na vifungu kinyume na IGA?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini inakuwa ngumu kubadilisha hata nukta kwenye huu mkataba ulioandaliwa na Hamza Johari kuhusu bandari zetu?

    Paschal what is the impact of IGA Agreement to the HGAs? Je hii IGA haina influence yoyote kwenye HGAs?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini inakuwa ngumu kubadilisha hata nukta kwenye huu mkataba ulioandaliwa na Hamza Johari kuhusu bandari zetu?

    Nataka kueleweshwa nafasi ya IGA ni nini? Je haina impact yoyote kwenye uwekezaji huu? Na kama ndiyo mbona upo?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Marehemu Magufuli na ujenzi wa Chato Airport Jakaya na Kambi ya jeshi ilinde wazaramo! Kibanda na wenzako mlikuwa wapi?

    Tupunguze kujadili hoja kwa jazba hili ni taifa letu sote. Magufuri alikuwa rais wetu sote (Mungu ampumzishe salama) kuna mambo mengi mazuri alifanya, lakini kunavitu alifanya havikuwa na tija kwa taifa. 1. Uwekezaji alioufanya Chato ni mkubwa kuliko eneo lenyewe. Air port chato (wrong place...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chips Katoro town

    Upo katoro sehemu gani?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Duka la mangi: Tunduma/Kahama

    Kahama ni sehemu nzuri sana kwa biashara!, siyo kweli kwamba uchumi wa Kahama unategemea Buzwagi. Kama ni mji ambao uchumi wake unategemea vitu mno. Lakini madini ndo yanaongoza, pia wachimbaji wadogo kutoka maeneo jirani ndo wanaukuza mji na siyo Buzwagi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mifugo kubishana hadharani na Rais ni utovu wa nidhamu

    Kumshauri kiongozi mkuu ndo kazi ya waziri na kufanya hivyo siyo kumpinga. Mimi nadhani watanzani tunatakiwa kubadilika sana. Nidhamu ya uoga ndo chanzo cha matatizo yetu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

    Busanda siyo wilaya, mkoa wa Geita hatuna wilaya inayoitwa Busanda, bali Busanda ni Jimbo tu!!, Jimbo la Busanda liko Geita vijijini.
Back
Top Bottom