Recent content by mindchaser

  1. mindchaser

    Kwanini siponi amoeba

    Amoeba ni miongoni mwa magonjwa masumbufu sana kupona dawa za Hospitali hazifanyi vizuri kwenye huo ugonjwa. Na ikitokea umetumia dawa za Hospitali jitahidi umalize dozi yote Mara nyingi amoeba inawasumbua zaidi watu waliowahi kuitibu Kwa kutokumaliza dozi kwaiyo Huwa unarudi Tena na kuwa Kali...
  2. mindchaser

    Jipatie vifaa vya maabara, Reagent za maabara, kemikali za viwandani, Vifaa vya kutibu maji (Water treatment consumables) Kwa bei rafiki

    Kama unamiliki taasisi ya afya, maabara, kiwanda, chuo kikuu, au unahusika na huduma za matibabu ya maji(water treatment)— Alphacia Limited ni chaguo sahihi kwako Tunahusika na usambazaji wa: 🧪 Reagents za Maabara (Lab Reagents) 🔬 Vifaa vya Maabara (Lab Equipment & Instruments) ⚗️ Kemikali za...
  3. mindchaser

    Nauza Samaki aina ya Jodari

    Kuna hatari Gani pale mkuu Kwan wanaenda kuliwa wabichi
  4. mindchaser

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nahitaji mchele supaa kwa bei ya jumla., Location Morogoro mjini
  5. mindchaser

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    watu wengine kweli sio wastaarabu sasa wewe unamuonya kama nani??
  6. mindchaser

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    2025DG kubishana na huyu mwamba ni kumpa attention tu ya bure na kupoteza mda anaenjoy kuona wengi wanamjibu just msimpe attention na msimjibu muone kama ataendelea😊
  7. mindchaser

    Pep Guardiola ndio Kocha Bora kwa sasa Duniani

    watu wengi wanaomsema pep humu ni mashabiki wa madrid ukichunguza ugundua hilo😂😂😂
  8. mindchaser

    Nikifikiria yaliyotokea katika maisha yangu sina budi kusema Alhamdulillah

    Kwa upande wa vitabu umesoma vingi na vingine vyotee umeelewaa sana lakini kwa biblia we ni mweupe pee,yaan kusema kweli huijui Na nimesign out sitashiriki mjadala utaoendelea kwasababu ni upotezaji wa mda na utumiaji mbaya wa bando (joke) utaendelea na kisai
  9. mindchaser

    Nikifikiria yaliyotokea katika maisha yangu sina budi kusema Alhamdulillah

    Kosa ni kosa acha kujitetea nimereplace r umekosea kuandika..iyo nilikuwa nakuonesha kuwa mtu yeyote anaweza kukosea
  10. mindchaser

    Nikifikiria yaliyotokea katika maisha yangu sina budi kusema Alhamdulillah

    Bas hujui hata namna ya kunukuu maneno ya watu ndomana hata napo pa yoshua panakusumbua
  11. mindchaser

    Nikifikiria yaliyotokea katika maisha yangu sina budi kusema Alhamdulillah

    Hahahaaa Kweli biblia ni kitabu kigumu sana kwako. Yaani hicho ulichoandika bado hujui kwamba kilikaririwa kutoka kwenye kitabu cha yashari. Unasoma sana vitu walicoandika wengine hiyo ndo changamoto baada ya kufikirisha ubongo wako
  12. mindchaser

    Nikifikiria yaliyotokea katika maisha yangu sina budi kusema Alhamdulillah

    Kukuthibitishia Mungu yupo nakupa simple fact naona mjadala utakuwa mrefuuu wakati me natoa dhana tofauti tofauti we unakuja na maelezo yaleyale na kujitetea tu Mungu yupo kutokana na utendaji wake unaoonekana kwa macho na usio onekana. Mfano was jambo linaloonekana kwa macho ni tarumbeta...
  13. mindchaser

    Nikifikiria yaliyotokea katika maisha yangu sina budi kusema Alhamdulillah

    Hahahaa yaani umeangaika na kiswahili changu na kosa l afu we unakuja kukosea kosa la kijinga "internat" ni nini au ni lugha gani tuseme? Ndo ujue kuwa typing error zipo tuu acha kukazia point za kitoto
Back
Top Bottom