Recent content by Min-ah

  1. Min-ah

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya watoto wa wanyonge wenye Division one wakosa mkopo HESLB

    Ni jinsi alivyo omba serikal haitambui kua huyu mtu Ni maskin wanaangalia viambatanish ulivyo ambatanisha
  2. Min-ah

    JamiiForums Tanzania HESLB vipi kuhusu batch two mliyoahidi?

    Ndyooooo yametoka trh 25
  3. Min-ah

    JamiiForums Tanzania HESLB vipi kuhusu batch two mliyoahidi?

    Subirishia mpk saa saba na kuendelea ndo mida wanayo toaga majina
  4. Min-ah

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya Chuo Kikuu Iringa yapoje?

    Owkiiii
  5. Min-ah

    JamiiForums Tanzania First year washaanza kukinukisha mitandaoni

    Cjaona shda hpo muache afurahie maana kupata mkopp ni bahat sn jmn
  6. Min-ah

    JamiiForums Tanzania Mkopo sio zawadi, 1st lazima mjue hilo

    Tumekupata aisee mkuu
  7. Min-ah

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya Chuo Kikuu Iringa yapoje?

    Pw
  8. Min-ah

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya Chuo Kikuu Iringa yapoje?

    Pamoja sn
  9. Min-ah

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya Chuo Kikuu Iringa yapoje?

    Naripot iringa alhamic vp chumba cha 30,000 naweza kupata?
  10. Min-ah

    JamiiForums Tanzania Sina bahati au ninagundu?

    Kwel kuna batch 3 mbele
  11. Min-ah

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    Pg zilizopo jina halipo subir nafac zilizo blank
  12. Min-ah

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    Sio shdaaa ili mrad umefanikiwa kusoma,,,jpo vyet vinatunzwa tuuuu
  13. Min-ah

    JamiiForums Tanzania Sina bahati au ninagundu?

    Ambatanisha vyeti vya vifo vya wazaz wawil hta kwa kufoj vyenye muhur wa Rita,,pia km umesoma private faida ni kubwa nenda shule uliyo soma uombe barua ya kua umesomeshwa hpo yaan ya ufadhili then ambatanisha kitu rahc,,bt subir pg 655 na kuendelea hazionesh majina subir walete uangalia
  14. Min-ah

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    Sw naelewa bt nasoma bila ghadhabu
Back
Top Bottom