HESLB vipi kuhusu batch two mliyoahidi?

HESLB vipi kuhusu batch two mliyoahidi?

Tusubir kesho
20191025_201302.jpeg
 
Aisee, em post screenshot yako. Kuna bwana mdogo kaandikiwa hivi kachanganyikiwa hapa.
View attachment 1244553
Sasa hawa jamaa inabidi tumuulize waziri mwenye dhamana maana kama wao walijinadi kuwa watahakikisha mikopo inawafikia walengwa kabla ya vyuo kufunguliwa na vyo ndo hivyo tayari kesho watu wanaripoti .sasa inakuwaje tena kuendelea kusema bado kuna batch zinaendelea hawaoni kama kuna watu watakuwa wamrwaktisha tamaa ya kwenda vyuoni kwa sababu tu ya kukosa ada. Pia ifike mahali wawajulishe watu mapema kwa kuwaambia kama imeshindikana kuliko kuweka stutus Mara Leo wanakuandikia" wait for the next batch. Wait for subsequent batch na mwisho analysis on progress " alafu pamoja na maneno yote hayo kila batch unakuta hakuna kitu na muda unazidi kwenda.tatizo hawa jamaa hawabadiliki kitabia ila kimaneno maana kama walisema kabla ya vyuo kufungua. Inakuwaje tena mikopo ukukute chuoni?mm cjui wao wanatafsiri vipi hili neno MKOPO.maana hii siyo zawadi ni jambo ambalo next huyu mlengwa atatakiwa kulipa tu pasipo kujali course au hali ya familia aliyotoka.
 
Changamoto kubwa zitakazowakuta wazazi/walezi/wanafunzi ni kuwa vyuo vingi huwakatalia wanafunzi kufanya usajili usipolipa Nusu ya ada, hata kama umelipa ile Direct cost (Registration, Accomodation, Quality assurance fee na mambo mengine) Ambazo kwa vyuo vingi si chini ya Tsh. 400,000/- sasa unapoambiwa uongezee nusu y ada hpo juu, bado inabidi kuwe na hela ya chakula hapo walau si chini ya 100,000./-
Rai yangu: Ni kweli swala la mkopo ni bahati nasibu na pengine hawawezi kutoa kwa wanafunzi wote basi angalau wawe wanafanya zoezi mapema, kama wana batch nyingi bas unapokaribia muda wa kufungua vyuo angalau zaidi ya nusu ya hizo batches ziwe tayari.
Sasa hivi vyuo vimefungua hadi batch mbili tu, na majina waliyotoa ni batch 1 ambayo pia yanaonekana hayajakamilika kule chini pages ziko wazi majina hayapo yote.
 
Naomba msaada, mm nilikuwa na status ya incomplete application, then nikafanya marekebisho kama walivyoelekeza bodi, walivyotoa majna jana nipo kwenye lisg yao lkn kwenye acount yangu hata verification bado
 
Kwenye acount yangu bado hata verification lkn kwenye list ya majina waliyotoa nimo, vp hapo inakuaje? Naomben msaada

yangu
Kuna majina yametolewa zaidi ya yale ya batch 1 ya tarehe 17?
 
Wadau naomba kuuliza.. Hv kama MTU kapata mkopo anaandikiwa nn ktk account take maana kuna dogo ananisumbua hapa.. Nmeingia account take nimekuta form zake za mkopo tyu
Kwenye website ya HESLB sijayaona mkuu, unaweza ku attach file au link?
 
Wadau naomba kuuliza.. Hv kama MTU kapata mkopo anaandikiwa nn ktk account take maana kuna dogo ananisumbua hapa.. Nmeingia account take nimekuta form zake za mkopo tyu
Inatakiwa ile sehemu ya allocation ionyeshe amepata asilimia ngapi, kama hajapata itaandika "You have not secured loan in batch one and two"
 
Kuna uwezekano batch nyingine zikatoka watu tusiwe na taarifa mkuu majina haya umepata wapi maana kwenye web yao bandiko halipo
 
Back
Top Bottom