Recent content by MimiNiMakini

  1. MimiNiMakini

    Uwezo wa Lily Ommy umeshuka toka aingie Wasafi Media

    "Huyu jamaa anachojua saizi ni kusema "and stuff like that" basi 😁 " Nimekuta caption hii huko twitter, aisee watu wa twitter wamefunguka mambo mengi sana kuhusu Mtangazaji Lil Ommy. Kiufupi Inadaiwa kwamba uwezo wa Lil Ommy tangu aje Wasafi umeshuka sana, Jamaa akiwa Times Fm alikuwa moto...
  2. MimiNiMakini

    Kati ya Muziki na Mpira wa Tanzania kipi kinafuatiliwa zaidi?

    Tukio la Harmonize kumvisha Pete ya Uchumba Kajala na Tukio la Yanga kusherekea Ubingwa wa Ligi kuu yameenda sambamba sana. Inadaiwa kwamba Tukio la Harmonize kumvisha pete Kajala limefunika Tukio la Yanga, maana yake ni kwamba Mtaani watu wanamjadili Harmonize na Kajala kuliko Ubingwa na...
  3. MimiNiMakini

    Kanumba hayupo filamu zipo, Diamond akifa muziki utaendelea

    Imetoka List ya Wasanii wenye Ushawishi mkubwa Barani Africa, Diamond ametokea pia kwenye List hiyo na Mbaya Zaidi amejisifu kwamba Bila yeye bendera ya Tanzania haitapepea tena kimataifa iwapo hasa atafariki. Inachekesha Sana, Diamond ameshajikuta kwamba bila yeye mambo hayaendi, huu ni uongo...
  4. MimiNiMakini

    Kidini Kajala ni mke wa mtu, Harmonize atamuoaje?

    Baada ya Kajala Kuachana na Majani, aliamua akaolewe, bila kupoteza wakati alikamilisha hilo na akaolewa kwa Ndoa ya kanisani kabisa. Bwana Faraji Agustino ndio Mume halali wa Kajala. Alipopata kesi na Kajala then Kajala akafanikiwa kutoka Jela, Mme wake aliendelea kusota Jela huku Kajala...
  5. MimiNiMakini

    Dunia ina watu bilioni 8. Mungu hakuumba watu bilioni 8

    Dunia ina watu bilioni 8. Mungu hakuumba watu bilioni 8. Mungu aliumba watu wawili tu. Adam na Hawa. Sisi wengine bilioni 8 ni product ya kuzaliana. So ukiamua kuTrace bloodline yako, chimba chibuko la babu na mababu zako lakini mwishoe utaangukia kwa Adam na Hawa. Na Mungu alivyowaumba Adam na...
  6. MimiNiMakini

    Kipi bora: Kuoga Usiku au Asubuhi?

    Kwa wanaume ni hiari ya mtu
Back
Top Bottom