Recent content by mimiMEE

  1. mimiMEE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana familia mkoa mwingine, anakaa miezi tisa bila kwenda, je ni sahihi?

    Foundation ya ndoa km hiyo no mbovu bila shaka
  2. mimiMEE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana familia mkoa mwingine, anakaa miezi tisa bila kwenda, je ni sahihi?

    Kichapo kumfuata mume wangu? Kutakuwa na sababu nyingine basi na sio kazi
  3. mimiMEE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana familia mkoa mwingine, anakaa miezi tisa bila kwenda, je ni sahihi?

    Hii inashangaza kwakweli..ila kwa vile ni mkaskazini hiyo na kawaida Sana na akienda anaenda kuacha mimba, Mimi siwezi nitamfuata kila mwezi
  4. mimiMEE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

    Ila wanaringa Sana aisee
  5. mimiMEE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

    Nimeipenda hii Mkuu but mnakosa kimoja hapa...to show that deep love
  6. mimiMEE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

    Hahaaha ila Mkuu mi naulizia Tabia zao tofauti na kipigo wanachotoa
  7. mimiMEE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

    Habari za siku mingi wakuu, Naomba kujua tabia za mwanaume wa Kikurya. Thank u.
  8. mimiMEE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusaidiane hapa

    Kwa umri huo sidhani km ni sahihi kuchagua mke u have a long way to go, think of how u r going to live the life u want. Ukimwi upo
  9. mimiMEE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora kuwa na uhusiano na mke wa mtu kuliko mwanafunzi

    Usipende vya bwerere kijana,
  10. mimiMEE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba..(Mke)

    Sidhaniii
  11. mimiMEE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

    Pole Sana ndugu, usifikirie mabaya kwa sasa....mueleze mwenzio hali yako labda hajui....ila pia gaya ni matokeo ya kutomsoma mwenzio vzuri kabla ya kumuoa, pole
  12. mimiMEE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimeshika simu ya mpenzi wangu, sina hamu naye

    Akili kumkichwa kwani umezaliwa nae??
  13. mimiMEE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Una mechi kesho usiku?

    Hahaha du Mkuu hivyo lazma uumwe kwanza hats mtanange hutauweza
  14. mimiMEE

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Sawa nashukuru mkuu.
  15. mimiMEE

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Habari za mida hii wakuu, Naomba mnisaidie jambo hapa, ni vitu gani au mambo gani ya muhimu kuwa nayo kabla ya kuanzisha biashara ya chakula(restaurant ama mgahawa mzuuri). Naombeni msaada wenu hapa hasa wale wazoefu.
Back
Top Bottom