Recent content by mimikapeople

  1. M

    JamiiForums Tanzania Washindi wa "Tuzo za watu"

    Nami nilikuwa najiuliza ivo ivo
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa madaktari wote

    Haleluya Mosha nashukuru mungu mchumba ninae tayari nae anafahamu ni jinsi gani naisamini kazi yao
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa madaktari wote

    magavya Upo sahihi kabisa ndo maana kwenye maelezo nimesema wanaotimiza wajibu wao, ambao wenyewe wana wito wa kutoa huduma na ambao hawatimizi Mungu awape utashi wa kujua majukumu yao na kujua kwanini wapo hapo walipo...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa madaktari wote

    Hongera mungu akubariki na azidi kukutia nguvu uweze kusaidia watu wenye mahitaji na huduma yako.na uweze kutimiza wajibu wako
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa madaktari wote

    Ooh nimeona tu baadhi ya madaktari wa hospital Fulani wanavyohudumia watu wao vizuri .wanavyojali muda wao na kusamini muda wa wagonjwa wao hata chai anakunywa kwa muda mfupi akijua kuna watu wanahitaji huduma yake..apo ndo nilipotokea kuipenda na kusamini hii kada ndo ivo tu
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa madaktari wote

    Dada nameless apo key point ni madokta nimetokea kusamini sana kazi yao kwa wachache niliyowaona kiukwel wanajituma na kuipenda kazi yao ambayo ni ngumu na ina challenge nyingi na bado wanaifanya vizuri
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa madaktari wote

    Manesi apo sina comment kwakwel
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa madaktari wote

    Nawapongeza sana madaktari wote mnaopenda kazi yenu na kuhudumia watu kwa moyo mmoja mungu awabariki sana na azidi kubariki kazi zenu kwani huo ni wito. Nawapenda sana madaktari hata nikisema niolewe Mungu anipe doctor ili niwe namtia moyo kwenye kazi yake aweze kuifanya vizuri. Mungu wabariki...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Et maziwa .Nazi na Karanga mgonjwa wa sukari anaweza kutumia?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Asante sana ubarikiwe kama hutojali naomba uniambie na aina nyingine ya chakula ambao ni nzur kwake maana sukar ilikuwa juu sana 32 na vipi kuhusu maziwa?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Iv njegere na green beans hazina shida kwa MTU wa sukar?na dona.na ule Michele wa brown ni mzur?na nini tofaut zake na sembe au na Mchele wa kawaida?
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Ushauri mzuri sana yani ukiishi ivi stress za mahusiano kwako zitakuwa historia.kama wawili mmeshindwa kutatua hata wazazi wenu na viongozi wa dini hawawezi kamwe
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Woga wa USINGLE, Matokeo ya Wadada kutoka na watu chini ya kiwango na rundo la mabwana waliopita

    Kwel kabsa alaf maisha yanakuwa marahisi mno no stress
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake kwa staili hii tutaisikia tu FIRDAUS/UFALME WA BWANA katika maandiko tu

    TatZo watu wanachanganya Haki na wajibu na hicho ndo kinaleta shida katika jamii...maana kuna wajib wa mwanaume na mwanamke katika jamii au familia... Na Haki haiangalii jinsia sa ww wanawake wengi tunachanganya apo.unapoongelea Haki ndo hizo apo juu elim matibabu na nk...na wajib ni zile...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Life expectance ya Tanzania; Asume unapata mtoto ukiwa na miaka 30

    Hah hah hah ila kwel maana kuanzia 25 ndo stress huwa zinaanzia apo kaz ndoa mtoto
Back
Top Bottom