Recent content by mimibilly

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii na pesa za CCM

    Kama hukai kwenu basi kwa shemeji,sio kosa lako,muda wa kuelewa mambo makubwa bado kwako
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii na pesa za CCM

    Wanajamvi wote wapenda mabadiliko tunajua uwezo wa kufikiri wa wasanii wa kitanzania,ccm imeshawapa pesa wakiamini ni watu muhimu kuwapigia kampen,kwa mtu makini siamini kama utapoteza muda kutakanana nao mitandaoni sababu wameshakula cha watu,upande wangu mimi ni kufanya jambo dogo tu 'UNFOLLOW...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wana CCM wanamuogopa Lowassa?

    Naomba kuuliza ccm wanamuogopea nn lowasa??tangua ahamie chadema wamesahau kabisa kama na wao wana makufuli wakumpigia kampeni wao kila siku ni story tu kuhusu lowasa mara hiv mara vile,tuambien nn mchotetemeka kwa yy kuwahama,si ni mgombea tu kama wenu?? Nawashauri fuatilieni mambo yenu the...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wana CCM wanamuogopea nini Lowassa?

    Naomba kuuliza ccm wanamuogopea nn lowasa??tangua ahamie chadema wamesahau kabisa kama na wao wana makufuli wakumpigia kampeni wao kila siku ni story tu kuhusu lowasa mara hiv mara vile,tuambien nn mchotetemeka kwa yy kuwahama,si ni mgombea tu kama wenu?? Nawashauri fuatilieni mambo yenu the...
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Leo imenibidi kuamka asubuhi na kwenda TANESCO kuuliza kwa nini umeme unakatika kila siku na bila wao kutoa taarifa yeyote. Cha kushangaza wafanyakazi wa TANESCO wakanijibu hata wao hawajui kwa nini umeme mikoani unakatwa wakaniomba niende kwa meneja kumuuliza kwa bahati mbaya secretary wake...
  6. M

    JamiiForums Tanzania NMB wanafanyia wapi Written Interview ya Jumamosi hii?

    Jana nilisikia kuna watu wamepigiwa simu na NMB Southern Zone kwenda kufanya interview jumamosi. Concerning yangu venue ya hiyo interview ni wapi? Kwa aliyepigiwa msaada.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye habari kuhusu interview ya ppf tujuzane

    Wana jamvi mwenye kujua habar yeyote ya matokeo ya int view ya ppf tujuzane plz
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mil 5 kwa passo

    Unauzaje??
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mil 5 kwa passo

    Kama kichwa hapo juu,ni pm kama unayo tufanye biashara fasta
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua kuhusu minada ya magari bandarini

    Kwa anayefahamu kuhusu minada ya magari bandarini naomba anipe ufafanuzi jinsi ya kununua
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kapeti

    Natafuta kapeti la nchi 3.5 mpaka 4,bajeti isizid elfu 80 zuri la kisasa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Viwanja vyenye offer vinauzwa Morogoro

    Hamna haja kujibishana na mtu ambaye ana muda wa kupoteza,contact zipo hapo kwa ambao wapo serious tushafanya biashara
  13. M

    JamiiForums Tanzania Viwanja vyenye offer vinauzwa Morogoro

    vipo vya low density na high so bei inategemea na ukubwa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Viwanja vyenye offer vinauzwa Morogoro

    viwanja vinauzwa morogoro vyenye offer tayari maeneo ya mkundi kilometer mbili kutoka barabara kuu. serious buyer contact 0718 513571 na 0785 853297
  15. M

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Morogoro

    Za maafisa ardhi
Back
Top Bottom