Asee nina mil 1 ninahitaji piki piki used(isizidi mwaka mmoja toka inunuliwe na iwe haijaguswa injini)ya kutembelea mwenye nayo anipe namba tuwasiliane!
App za kwenye simu huwa nzuri na hupendwa na watu kama ukipata wazo zuri la kuweka katika hiyonapp.
Sasabasi mimi nimepata wazo na kwa mujibu wa mawazo yangu na watu wangu wa karibu niliowashilikisha wameafikiana nami kuwa ni wazo zuri na app hiyo kama nitaifanikisha itapendwa sana na watu!
App...
Naomba kwa anaejua bei ya sasa ya pikipiki MPYA aina ya SANYA 150-9 anisaidie,kwa mazingira niliyopo nivigumu kufahamu na ndio maana nikaamua kuomba msaada kwenu wanajamii!!
Ni maika mingi nimeacha kuangalia comed za tv baada ya orgina comed kupoteza umaarufu na nilikimis sana kipindi cha mambo na vijambo cha chenel 5 miaka takriban mitatu iliyopita,
Nilikua mshabiki na mpenzi mkubwa sana wa hawa waigizaji na watunzi wa hii comedi
ASANTENI SANA EATV KWA kuirudisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.