Samahan ila hata kama alie toa hiyo thread ni yauongo ila kumbuka wako wengine ambao nao wamepitia kama haya waliopitia hao wa mahakama na ni watumishi wa umma na mpaka sasa hawajui nini cha kufanya sababu wamekata tamaa na hali halisi ya maisha ilivyo maana hajui ni lini atarejea kazin na...
Wazazi wa nyakati ni tofaut na zamani,wengi si wawazi kwa watoto wao kwa kuwaambia yale yaliobora na mafundisho mazur juu ya maisha ya ukuaji wao bali wanawaachia walimu na wao wanakuwa bize na maisha,alafu mtoto akipotea atalaumiwa mwalimu,mtoto na laana kupewa wakat huyu mzazi hakutumia nafac...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.