Recent content by Mimi21

  1. M

    JamiiForums Tanzania E-Filing & VAT Returns

    Ni dm nikuelekeze
  2. M

    JamiiForums Tanzania E-Filing & VAT Returns

    Nipo Dar es Salaam
  3. M

    JamiiForums Tanzania E-Filing & VAT Returns

    Habari ya muda huu ndugu zangu.. I'm a freelance Accountant doing the following 1. E-filing (PAYE & SDL) 2. Payrolls preparation 3. VAT returns preparation and filing 4. Preparation of books of Accounts For anyone who would like this freelance service please contact me. Mobile: Call/WhatsApp...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ulifanyaje ulipoachika?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah kaka ila bora ulichukua kuliko aende mshikaji akipigie show juu ya shuka lako duuh[emoji1787][emoji1787]
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ulifanyaje ulipoachika?

    Sio kuhonga bali ni kuonyesha unamjali kiasi gani...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ulifanyaje ulipoachika?

    Yaani hana shukrani kabisa.. wanaume kama nyinyi mmebaki wachache sana... huyo dada mbengo hazitafunguka kwa ajili yake[emoji28]... 100k yote hiyo na asante hamna anajikuta nani kwa mfano[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ulifanyaje ulipoachika?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka kwa nguvu sana daaah
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuanzisha na kusajili NGO

    Asante sana Ubarikiwe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuanzisha na kusajili NGO

    Asante sana sana kwa ufafanuzi mzuri... nimekuelewa vizuri sana .. Hapo kwenye CV inayoweza kukubalika na system ndo inakuaje? Msaada hapa tafadhali.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuanzisha na kusajili NGO

    Habari za muda huu ndugu zangu. Samahani ningependa ufafanuzi kwa yeyote unaefahamu procedures za kuanzisha na kusajili NGO. Gharama zake na vitu vinavyohitajika kukamilisha usajili. Asante.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

    Usikate tamaa ya maisha yamkini upo karibu na nuru kuliko unavyodhani. Mtumainie MUNGU nae hatakuacha kamwe maana amesema hatatuacha wala kutupungukia hivyo kua na imani tu utavuka ndugu yangu. MUNGU anasema yeye ni MUNGU wa wote wenye mwili na hakuna jambo asiloliweza . Hang in there jipe moyo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

    Utampata MUNGU ni mwema
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

    Enenda sawa sawa na mapenzi ya MUNGU.. Zitii amri zake, soma Neno la MUNGU na kuliishi. Zaidi ya yote kua mtu unaependa kumuomba MUNGU in short uwe mtu wa maombi maana YESU anasema kesheni mkiomba msije mkaingia majaribuni. Roho Mtakatifu ajae ndani yako maana yeye atakuongoza na kukusaidia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kumtafuta mchepuko wa mumeo

    Nikushukuru sana sana.. nitajitajidi na MUNGU anisaidie kwakweli
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kumtafuta mchepuko wa mumeo

    Nitayatafuta kwakweli asante sana ndugu yangu
Back
Top Bottom