Hatua za kuanzisha na kusajili NGO

Hatua za kuanzisha na kusajili NGO

Mimi21

Member
Joined
Jun 11, 2021
Posts
24
Reaction score
33
Habari za muda huu ndugu zangu.

Samahani ningependa ufafanuzi kwa yeyote unaefahamu procedures za kuanzisha na kusajili NGO.

Gharama zake na vitu vinavyohitajika kukamilisha usajili.

Asante.
 
Inatakiwa muwe watu kuanzia watano, watatu watakuwa viongozi means Mwenyekiti, Katibu, na muweka hadhina. Hao watu watatu wawe na CV yenye experience ya kuwawezesha kukubaliwa na system. Then tengenezeni katiba ya mchongo mwende nayo kwa afisa maendeleo wa kata mkiwa na muhtasari wa kuanzisha NGO, CV za hao watu watatu, passport size zao, hiyo katiba ya mchongo na barua kutoka serikali ya mtaa.

Then mkipewa barua kutoka kwa afisa maendeleo fast ingia ingia www.nis.jamii.go.tz.
Huku utaanza usajiri upya, utakuta template ya katiba utakuwa unafanya bubadili tu unavyotaka wew. Watakacho angalia kwa makini ni objectives zako.

Zikiwa clear ndani ya wiki mbili hadi nne tayari watakuwambia njoo na stamp duty moja uchukue cheti chako.

Hope ntakuwa nimetoa msaada unaouhitaji
 
Asante sana sana kwa ufafanuzi mzuri... nimekuelewa vizuri sana ..

Hapo kwenye CV inayoweza kukubalika na system ndo inakuaje? Msaada hapa tafadhali.
 
Zingatia experience, hasa ya M/kit na Katibu. Hivyo tu. Alafu wawe na NIDA
 
Inatakiwa muwe watu kuanzia watano, watatu watakuwa viongozi means Mwenyekiti, Katibu, na muweka hadhina. Hao watu watatu wawe na CV yenye experience ya kuwawezesha kukubaliwa na system. Then tengenezeni katiba ya mchongo mwende nayo kwa afisa maendeleo wa kata mkiwa na muhtasari wa kuanzisha NGO, CV za hao watu watatu, passport size zao, hiyo katiba ya mchongo na barua kutoka serikali ya mtaa.

Then mkipewa barua kutoka kwa afisa maendeleo fast ingia ingia www.nis.jamii.go.tz.
Huku utaanza usajiri upya, utakuta template ya katiba utakuwa unafanya bubadili tu unavyotaka wew. Watakacho angalia kwa makini ni objectives zako.

Zikiwa clear ndani ya wiki mbili hadi nne tayari watakuwambia njoo na stamp duty moja uchukue cheti chako.

Hope ntakuwa nimetoa msaada unaouhitaji
Taasisi hizi wanatakiwa wawe na source ya income yaku support taasisi yao sio?
 
Yes/No

Yes, Inatakiwa muwe na source of fund ya kukuwezesha kurun ofisi, na miradi ya hapa na pale ili uwezekuonyesha kwamba mmeweza kufanya kitu gani angu mlipopata usajiri.

No, mnawezakupata usajili then mkaweka cheti kwenye begi, then mkaanza kufanya shughuli za kijamii mfano kujitolea kwa jambo lolote lile hku mkiendelea kutafta funds
 
Mfano kama una watu wanaku support financially na hata kama una side business ijapokuwa mapato ¾ ni donor's. Je hili linawezekana
 
Back
Top Bottom