Recent content by mimi0

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sijaona KIU kwenye kitabu cha TCU, Je hakikidhi viwango?

    Jamni mwaka huu hakuna guide book ya fresh from school? Naona wametoa ya diplom na wenye equivalent inakuwaje,msaada wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ninunue laptop aina gani?

    Mbon umesem hujui km zipo? Ushauri tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vitu gani vya kuzingatia kabla sijanunua Laptop ?

    Ushauri nahitaji kununua pc ni vigezo gani nizingatie kabla ya kununua,bajeti yangu ni laki3 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ninunue laptop aina gani?

    Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ninunue laptop aina gani?

    Naomba ushauri kwa wataalam na wazoefu wa laptop(pc), nahitaj kununua pc mpya ya dukani,Mini laptop yenye mlango yaani sehem ya kuweka cd, bajeti yangu ni laki3.Nje na chager capacity,hard disk size, ni vitu gani nizingatie, pia aina gani ya kampuni nzr. Natanguliza shukrani zangu za dhati na...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani

    Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani, sifa awe mkatoliki,yaani Romani Catholic, asiwe na mtoto, asiwe aliwahi kuoa, awe na miaka 32 na kuendelea, anayejiheshim na kujitambua nafasi yake(sio sharobaro) mwenye hofu ya mungu,na anayetambua maana ya familia, aliye...
Back
Top Bottom