Nimeona orodha ya Vyuo kutoka TCU ambavyo vimeruhusiwa kudahili wanafunzi wa Undergraduate kwa mwaka wa masomo 2017/2018.KIU sijakiona.Je,hakikidhi viwango vya kutoa Shahada ya Kwanza?
Nina ndugu yangu nataka kumpeleka pale asome Diploma au Certificate.Naomba kujuzwa kama kimeruhusiwa kudahili kwa kiwango hicho cha elimu maana nimetishika sana kutokuwaona kwenye Shahada.
Mwenye uelewa tafadhali naomba msaada wako.