Recent content by Mimi.

  1. Mimi.

    JamiiForums Tanzania Jana uso kwa uso na wanaomchukia! Kiongozi anatakiwa achunge sana ulimi wake

    Hakuna wa kumgomea kiongozi wa Nchi! Ulitaka akae mbele sniper wamtungue?
  2. Mimi.

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

    Waganga wamemdanganya wangechezesha dish ashinde kijinga na wanasheria hakunaga mazingaombwe ya aina hiyo Dada
  3. Mimi.

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

    Review ndio hii kadondokea pua alishakata rufaa 4 times if i can recall properly
  4. Mimi.

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Unsmsingizia Madelu hana siasa za kishamba za kutukana wakubwa wake wa kazi madelu muoga muoga wakina january wanajifanya watoto wa mjini Kina January hacheni kumtukana Raisi ni kweli tunajua uraisi unautaka afe kipa afe beki lakini wakati wako utafika
  5. Mimi.

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ajenda ya ‘KUMSEMEA MAMA’ yaipasua UVCCM

    Biteko anakubalika na uvccm Nchi nzima sio kanda ya ziwa peke yake Kwa unyenyekevu wake na kuwapenda vijana hata Nje ya Camera , hajisikii kama wengine walio wengi
  6. Mimi.

    JamiiForums Tanzania Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

    Mimi ni Single Father , unatafuta wa kukustili ⛪️
  7. Mimi.

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Mbweni, budget Mil.70

    Mbweni unapata lakini sio Jkt
  8. Mimi.

    JamiiForums Tanzania Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

    Oa Mkuu, wanawake wakiacha wameacha hawaludi nyuma husiwasikilize hawa mburura ukiona mwanamke analudi kulia lia kwa baby dady ni maisha yamempiga Kama huyo single maza ana uwezo wa kujikimu kimaisha wanakuaga jeuri hao kuludi hata kuongea na baby dady ,Uzuri wa kuoa single maza ni maturity zao...
  9. Mimi.

    JamiiForums Tanzania Airbus A380 - Emirates - King of the Sky

    First class ya A 380 ni 4Million ?! Wow 😳😳😳😳are you dreaming
  10. Mimi.

    JamiiForums Tanzania Mkazi: Siondoki Bonde la Msimbazi bila fidia ya angalau bilioni moja

    Unapotosha kwa faida ya nani. Hizo nyumba na hao watu ni Duni waache Serikali iwape fidia itakayowasaidia sio mnawakandamiza kwa chuki, wivu na upotoshaji.
  11. Mimi.

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi jiuliza ni kwanini wakristo waliokoka wengi wana hali ngumu za kiuchumi japokua biblia imewahidi baraka nyingi sana

    Hasiefanya Kazi na hasile . Unashinda kanisani unategemea Mungu atakushushia kapu la sadaka
  12. Mimi.

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

    Tena Wakawapelekea na Maji na umeme na bara bara Na kodi za serikali wanawatoza
Back
Top Bottom