Hata shetani anasimamia anachokisema. Na shetani ni mchapa kazi barabara. Na shetani hufanya maamuzi magumu ya kuwafanya watu wasimpende muumba wao. LAKINI mwisho huleta maangamizi na ndivyo itakavyokuwa kwa waTZ kama watakubali EL awe rais. Atarudishaje fedha anazochangiwa na...
Pamoja na wewe ni kada wa CCM umetoa maoni kidogo yana mwelekeo.
Naongezea lakini kwa mtazamo tofauti: Aliyekuwa kampeni meneja wa JK awamu ya tatu alikuwa ni Lowassa. Kampeni hiyo ina sifa ya kutumia fedha nyingi sana na Kikwete baadae alikiri na alitoa hotuba kali akasema urais wake hauna...
Lowassa amesema pesa hizo siyo zake anachangiwa na marafiki zake ambao ni matajiri. Unanipata?. lakini naungana na wewe kuwahimiza watanzania watuambie ni kwa nini ? Eti. Maana nimewakumbusha waTZ Nyerere alimhoji 1995 hajajibu, laini kasema hana pesa alifilisika lini?
Halafu suala la...
Mimi simtetei Lowassa wala Nape au Mangula lakini nataka niwakumbushe watanzania.
Jamani ebu kumbukeni mwaka 1995, walijitokeza wagombea urais kutoka ndani ya CCM kama 9 hivi. kuna mgombea mmoja alihojiwa hivi na Nyerere " Mwenzetu umepataje utajiri huu kwenye nchi maskini ". alishindwa...
CCM inafanya nini Ikulu kwa sasa ?. Umesahau hili ombwe la uongozi hapa TZ? Je umesahau mambo mengi yanayofanywa na serikali ya CCM? Wewe ni kipofu na kiziwi usione na usiweze kusikia mateso wanayofanyiwa watanzania na vilio kutoka kwa watanzania juu ya mateso wanayoyapata kwenye maisha yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.