Recent content by Miltony

  1. Miltony

    JamiiForums Tanzania Utafutaji ni mgumu nawashanga watumishi wa serikali wenye uhakika wa kuvuta mshahara kila mwisho wa mwezi japo ni kiduchu wanashindwa kushukuru

    Kweli kabisa ila kuna mda inabidi icho kidgo ndicho utumie kupata kingine kwa ajili ya kesho ata ikiwa mia mbili usiile leo ikaisha kesho utakula nn ?? Jasho na damu na mateso
  2. Miltony

    JamiiForums Tanzania Ni nani hasa mmiliki wa Taifa la Tanzania?

    Mungu anakuona tutafutie twende jela kwa kutulazimisha kujibu ili swali maana🤐🤐
  3. Miltony

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wafu walio hai

    Bonge la story
  4. Miltony

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo wetu wa elimu ndo kilio chetu

    Fact hadi nguvu itumike
  5. Miltony

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya ukikutana na hirizi nyumbani au kazini?

    Ntakimbia 🤣
  6. Miltony

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo wetu wa elimu ndo kilio chetu

    Ahsante boss
  7. Miltony

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo wetu wa elimu ndo kilio chetu

    Apo mwisho wa andiko kuna sehemu ya kupiga kura mkuu kadude kana rangi ya kijani ukibonyeza kanakuwa kekundu na kura inaongezeka
  8. Miltony

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo wetu wa elimu ndo kilio chetu

    Sawa boss ila cha muhimu tunaona vijana wengi wamesoma ila mwishowe elimu yao ni ya karatasi sio vitendo je ni wapi utapeleka makaratasi bila ufanisi wa vitendo ueleweke? Kwaio ni lazima elimu ya vitendo ipewe kipaumbele kuliko makaratasi mtu hata akifail ila angalau ana chochote kitu cha...
  9. Miltony

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo wetu wa elimu ndo kilio chetu

    Ahsante boss naomba kura yako
  10. Miltony

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo wetu wa elimu ndo kilio chetu

    Ee boss tunawekeza ila tunaambulia kukaaa bila chochote
  11. Miltony

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo wetu wa elimu ndo kilio chetu

    Kwanini Watanzania tunapotea katika elimu shuleni? Na kwanini tunasoma na mwisho wa siku tunakaa bila ajira? Ni kwa sababu zifuatazo KISIASA: Kisiasa elimu inachukuliwa kama chama tu ambacho kinajitegemea na kinajiweza kwa kila kitu kana kwamba chenyewe hakiitaji nguvu ya ziada kusukumwa na...
  12. Miltony

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Mbona sioni majibu si mwisho ilikua kumi na tano?? Nisaidie plz
  13. Miltony

    JamiiForums Tanzania SoC02 Na Masters yangu, niliamua kwenda kulima Mboga mboga za kuuza baada ya ajira kuwa ngumu

    Uoga kikwazo ila nimekuelewa sana mkuu
  14. Miltony

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    jamani eti ni kweli mwaka jana kuna waliokua na kura nyingi arafu wakashindwa?
Back
Top Bottom