Recent content by Milonjo

  1. Milonjo

    Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

    Naomba kuuliza watu wanaosoma access course wanasoma topic gani katika hayo masoma matatu
  2. Milonjo

    Mwenye uelewa na Meteorology

    Ordinary diploma 1 yr, technical certificate 2yrs kwa national meteorological training centre- kigoma kutoka nacte, Bsc in meteorology 3yrs kwa UDSM
  3. Milonjo

    Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

    Jamani, mimi nimepata 4 ya 27 nimepata mathe C, chem C, bios D, geo D, phys F , engl D, na kisw D . naomba ushauri nikasome course gani?
  4. Milonjo

    Result slips za Form Four 2015/2016

    Kwanini results slip za 2015 zime chelewa?
Back
Top Bottom