Kuelewa soko linataka nini na kwa wakati gani ni mhimu sana.
Jipangeni vizuri tayari mna jina ondoeni udhaifu msonge mbele,route nyingi kwa sasa mmefunga.
Hakuna kitu kipya zaidi nikuangalia wengine wanafanya nini na wewe unawezaje kufanya tofauti na wengine kisha anza kufanya kwa kuonyesha tofauti.All the best.
[QUOTE=kombokokingachi;9517024
Mkuu Kakende sio kwamba napingana na hoja yako ila nafikiri ni vizuri tuchangamkie fursa zilizopo kama mleta uzi huu anavyotuasa. Kwa mtazamo wangu tuache kujifariji kwa kuitupia serikali lawama. Hata serikali ingetusaidia vipi kama mtu huna juhudi binafsi ya...
Mkuu sio rahisi kihivyo labda kama unaongelea Tani 3 mpaka 10.Uzalishaji wa tani 1,000 utachoma chips? Je utapata bei inayokidhi gharama za uzalishaji? au utapata bei ya hasara itakayokufanya usirudi tena shambani?
Ki ukweli serikali na wasomi wetu wanakwamisha kumkomboa mkulima kwani ndo sehemu...
Kweli Tanzania ina fursa nyingi sana na ukikomaa unatoka kwa haraka,ili kutimiza haya lazima tufanye kazi kwa bidii na sana na kutumia muda mwingi kwani hatuna mtaji wa kutosha na hata mzunguko wa fedha bado uko chini kulingana na hali za kimaisha zinazotukabili sisi pamoja na familia...
Chasha,
Nafikiri kuna vitu hapa watu wanachanganya mara nyingi mtu akipata Wazo la biashara(Business idea) hukimbilia kuandika business plan na kuanza kusaka pesa au kufanya utekelezaji wa biashara husika hivyo wengi wanaruka kufanya Visibility Study kabla ya kuandaa Business plan zao.Hivyo...
Hatuwezi kuongelea maendeleo ya nchi huku tukilaumu kulipa kodi,hii ndo fursa hata kwa wale wasiolipa kodi ya moja kwa moja waweze kulipa kupitia Kodi ya line.Cha muhimu hapa ni kuhakikisha pesa hizi zinatunufaisha kimaendeleo na wala si vinginevyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.