Recent content by Millan og sana

  1. Millan og sana

    Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Kaka mm napiga degree ya IT hapa dar , hawa TAESA wanatoa internship kwa wanafunzi wa IT uku nikiwa masomoni maana chuo chetu kinaoption ya kusoma usiku so naweza kupata internship ya IT
  2. Millan og sana

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Nataka uniambia chuo chochote Niko teyari kusoma iyo computer science ila nataka uniambia chuo Gani nitapata kwa urahisi nikiapply na foundation
  3. Millan og sana

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Sasa kma Nina gpa ya 3.0 ya ofp ya masomo ya PCB ila Nina f ya bam je nitaweza soma computer science
  4. Millan og sana

    Msadaa kwa hili wadau wa elimu

    Niko teyari hesabu kwa hesabu yoyote Niko teyari ata kujifunza tution ila must nisome computer science
  5. Millan og sana

    Msadaa kwa hili wadau wa elimu

    Asnte iyo penetration testing
  6. Millan og sana

    Msadaa kwa hili wadau wa elimu

    Ndyo Maana nimesema naomba USHAURI tena unanilaumu kakandyo nimekugundua baada ya kumaliza ila nimeambiwa naweza soma na Uongozi fulan wa chuo kikuu
  7. Millan og sana

    Msadaa kwa hili wadau wa elimu

    Hapna Sitaki afya sio passion yangu
  8. Millan og sana

    Msadaa kwa hili wadau wa elimu

    IT awana pia kaka tatizo malengo Yangu must nisome computer science au IT then ndyo passion yangu
  9. Millan og sana

    Msadaa kwa hili wadau wa elimu

    Out nimeangalia Tcu guidelines ya MWKAA Jana sijaona bachelor ya IT au COMPUTER SCIENCE Amna NIMEONA bachelor ya ICT tu Sijaona izo nazotaka
Back
Top Bottom