Fact ..kinachoendekezwa ni kujaza watu chuki na kuwapa feelings za chuki wachukie had mazuri..kiukwel kama watataka kuchukua kiti 2020 ni lazima hao waliopewa nafasi za ubunge wafanye mambo yatakayo shawish kuwaamin na sio chuki na uchochez.......
Mkuu yupo sawa kabisa...watu tunatemwa vyuo vyenye hadh tukiwa na point pendekezi..kwa mfano Nina one naomba udsm natemwa DUCE vivyohivyo afu naenda Kutupwa private..kuna haja ya kuliweka sawa hilo..
Ase japo ni mapema ila utabir wa haraka awamu ijayo itatumia achievement za awamu hii na kuachia kwa jamii kama hela...kwa now makusanyo yote yamebaki serikalin ..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.