Recent content by Milambo D.M.

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Richmond ni ya Rais Kikwete

    Umesema kweli. Kama haipo, Basil Mramba asingekuwa jela!
  2. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    1)Ukawa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Dalali: Niulize chochote unachohitaji au unachotaka kuuza au kununua

    Ninataka kuuza hiace mbili za zamani. Moja ni LH61 ya mwaka 1983, na nyingine ni RHZ100 ya mwaka 1988. Huna mawasiliano ya whatsapp?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ajali Nzega: Magari manne yagongana, Watano wafa papo hapo

    Magari ni manne: Mitsubishi Canter,Toyota Rav4,Toyota Landcruiser na basi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

    0688485905
  6. M

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

    Dr. Slaa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo Kwa wanamaombi Kwa Katiba

    Kuna wakati kwa kila jambo... Wakati wa kulia,kucheka nk. Maombi yafuate mapenzi ya Mungu na mahitaji ya jamii. Sasa mtu kuombea amani,ili hali unajua wizi mkubwa wa mapesa unafanywa na watawala,njama nzito zinapangwa na wachache kuwakandamiza wanyonge nk. si sahihi.Maombezi yalenge mahitaji ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete Amtembelea Dr. Mvungi...MOI

    Mungu huchunguza mioyo ya binadamu. Kuna siku unafiki utafichuliwa. Auaye kwa upanga naye hufa kwa upanga.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Toyota Hiace Super Custom inauzwa

    Mwaka:1988 Model: Toyota Hiace- Super Custom Engine: 1rz-fe 1998cc Transmission: 5 speed manual Inafanya kazi,biashara. Bei 8m. maelewano yapo. Wasiliana nami kwa 0752485905.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Literature and Geography anatafuta kazi

    Mimi naweza kufanya kazi popote. Nafundisha English na Kiswahili O'level na A'level. Contacts: 0752485905 e-mail: deomilambo@gmail.com
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini madereva wengi hawapendi kuwasha taa za/ya ndani ya gari!?

    Taa za ndani ya gari zikiwashwa, hutupa mwanga kwenye kioo cha mbele ambacho huuakisi mwanga kwenye macho ya dereva. Hali hii ni hatarishi kwani dereva aweza kuacha barabara. Baadhi ya magari ya abiria yana kiambaza kinachomtenga dereva na abiria.Kiambaza hicho kina pazia zito ama turubai...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Angalia picha za simba aliyejeruhiwa vibaya na mbogo,

    mbogo ni la kabila za kibantu; kinyamwezi ni ibhogo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Reconditioned 2l engine.

    engine ya hiace lh61
  14. M

    JamiiForums Tanzania Reconditioned 2l engine.

    Ninatafuta reconditioned complete engine na gearbox. Kama kuna anayefahamu dealers ninapoweza kununua,naomba msaada wa maelekezo.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tafasiri ya red brigade ya chadema

    kwa mujibu wa LONGMAN DICTIONARY OF CONTEMPORARY ENGLISH NEW EDITION FOR ADVANCED LEARNERS uk 200, neno "brigade" lina maana tatu:1. A large group of soldiers forming part of an army. 2.an insulting word for a group of people who have the same beliefs. 3.a group of people who are organized to do...
Back
Top Bottom