Recent content by mikwebe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Viwanja na Nyumba zinazodaiwa kodi kupigwa mnada Juni 2019. Kupata hati lazima kitambulisho cha Taifa

    Huo Mwaka hata wewe mwenyewe ulikuwa hujazaliwa ,sijui uliwezaje kununua?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya wafanyakazi fanyeni jitihada za kuwatetea wafanyakazi?

    MTU unatoa wazo la kukandamiza wenzako ili Mkuu wako akusifie,ni kujipendekeza huko na mwisho wake huyo aliyeleta hiyo kanuni ataishia motoni
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kanuni mpya ya mafao kwa wastaafu kupata 25% inayobaki 75 kuunganishwa katika pension ya mwezi

    Ni shida hiyo,pesa ni yangu kwanini usipe yote ?
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Isaac Muyenjwa Nyagabona Gamba afariki dunia

    Poleni sana familia yake
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi wa UDSM mna dharau na kujisikia sana lakini mna Maisha magumu

    Kwa anayejua short list kwa wale wanafunzi waliofanya online application kwa Mwaka 2018/2019 intake kwa awamu ya kwanza iliyoisha15 august ,bachelor je majina wataanza kutoa lini kwa ajili ya Ku confirm? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kulipa madai ya Watumishi wa Umma, yatalipwa February pamoja na mshahara! Soma hapa majina..

    Hivi kuna orodha nyingine itatoka?sababu ni wengi tu wanadai madai halali lakini majina hayapo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na mawaziri wa Elimu na TAMISEMI, apiga marufuku michango ya aina yoyote shuleni

    Kuna baadhi ya wakuu wa Shule wanawaambia wanafunzi walete ndoo ,jembe na mifagio,sasa huoni kama wanaendeleza michango iliyokatazwa? yaani badala ya kuleta pesa wanaleta vifaa imekaaje hiyo?
  8. M

    JamiiForums Tanzania HALOTEL haifai watanzania tuachane nayo tukatumie TTCL ili tukuze shirika letu.

    Tatizo la TTCL sehemu nyingi sana hata baadhi ya maeneo ya mjini huwa hakuna mtandao ndipo inapokuja shida
  9. M

    JamiiForums Tanzania RC Makonda yupo ITV. Mada: Tathmini ya mwaka 2017 na mipango ya Serikali kwa Dar es Salaam kwa mwaka 2018

    Angeanza kuzungumza SAA sita usiku kuliko SAA tatu watu bado wako katika pilikapilika za kutafuta maisha
  10. M

    JamiiForums Tanzania DSTV Free to Air Channels - TCRA naombeni Ufafanuzi

    Mimi mwenyewe natumia Startimes lakini zile za free kwa mujibu wa tcra bado hazioneshi mpaka ulipie
Back
Top Bottom