Kwa kweli magari yana jaza kupita kiasi hii inasikitisha sana kwa kuambukizana magonjwa kama TB na mengineyo itakuwa hatari sana kwani hamna hewa ya kutosha . Pia wapo abiria wanaopenda kukaa chini wazuia abiria washindwe kusimama vizuri. Tunaomba wahusika walifanyie kazi hii ni kero kubwa...
Kwa kweli inakatisha tamaa hasa muda wa asubuhi na jioni. jana nijaribu kufanya utafiti mdogo kuna gari niliifuatilia kuanzia karikoo tulipofika ubungo tulikuwa tunaoongozana na nimeshuka kimara wakati nashuka kwenye daraja yenyewe nikaiona inapita kuelekea mbezi. Tunaomba DART wajitahidi...
Nimewasikia waziri mkuu na mzee wasira wanatoa sifa nyingi kuhusu maridhiano yalivyofanyika na kufanya suala la escrow kumalizika kwa amani. Kwanini busara hizo hazikutumika kutuandalia katiba nzuri ya wananchi. na siyo katiba iliyoandikwa na mafisadi kama chenge. kama kweli tupo serious kuna...
Aliyekuambia ni mambo mazuri ni yapi.subiri mbongo atakapopewa tenda ya basi halafu ubungo junction utapita vipi na kimara mwisho bado ni single lane.acha siasa hatupo serious maneno mengi hata jirani zetu wanasema
Inasikitisha kwa muda mrefu eneo hili limekuwa na tatizo la maji. tunaomba serikali ikarabati au kununua mtambo mmpya ili kuondokana na tatizo hili.fikiria maji yanapita maeneo yetu na kwenda mjini sisi tunabaki hatuna maji wahusika tusaidieni.maji ni uhai
We acha madereva wa serikali nao pia ni mabosi na magari ni ya kwao maana wanalala nayo nyumbani. Huu ni mfumo mbovu kwani madereva wa UN magari wanalaza ofisini. Madereva wa serikali barabara ni zao wenye na sio madereva wa SU wanaoendesha STK, DFP. Jana nilimwona dereva mmoja anaendesha DFP...
Sijui nchi hii tumelaaniwa? Barabara kuu ya kuingia nchini ina kuwa na single lane. Kimara mwisho magari yanasimama kwa muda mrefu. Wasimamizi wa barabara wakati ujenzi unaendelea hawajali kabisa watumiaji wa barabara hiyo.
Sisi tunaokaa maeneo hayo tunateseka utafiki nchi hii haina sheria...
Foleni ya Morogoro road ni tishio , utafikiri wahusika serikalini wapo likizo. Mjenzi wa barabara anafanya anavyotaka. Huwezi kuamini barabara kuu inayoingia na kutoka jiji la Dar kuwa na single lane. Tunaomba wahusika mtusaidie watu tunaoishi maeneo hayo tunaamka saa tisa na kurudi majumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.