Tatizo la maji maeneo ya Mbezi Kimara

mikunde

Member
Jan 25, 2011
14
7
Inasikitisha kwa muda mrefu eneo hili limekuwa na tatizo la maji. tunaomba serikali ikarabati au kununua mtambo mmpya ili kuondokana na tatizo hili.fikiria maji yanapita maeneo yetu na kwenda mjini sisi tunabaki hatuna maji wahusika tusaidieni.maji ni uhai
 
mbezi kimara ubungo morogoro:kihonda kwa chambo kihonda mizani kihonda kilimanjaro maji ni shida mpaka zirudi sagoma na gomora
 
We unasema yanapita kwenu.., pale ruvu yanakotoka hawana maji.., yaani wanabeba maji vichwani na kwenye baiskeli.., itakuwa wewe yanapita tuu.., acheni ujinga.., chimbeni visima virefu vya jumuiya.., serikali haiwezi kufanya kila kitu.
 
-------- kama walivyo watanzania wengi
 
We unasema yanapita kwenu.., pale ruvu yanakotoka hawana maji.., yaani wanabeba maji vichwani na kwenye baiskeli.., itakuwa wewe yanapita tuu.., acheni ujinga.., chimbeni visima virefu vya jumuiya.., serikali haiwezi kufanya kila kitu.

Mkuu visimi tumechimba ila maji ni ya chumvi kwenda mbele. Yaani yanafaa kuwapa mifugo tu. Hongera kwa kukaa oyster bay, the last destination ya maji ya kutoka .
 
Yaani wewe kaka busara hhuna kabisa. unaona kukaa masaki umeuchiiiinja. subiri huyo dadako unaekaa kwake aachike mwakani kama hutakuja kupanga Kimara
 
Mkuu visimi tumechimba ila maji ni ya chumvi kwenda mbele. Yaani yanafaa kuwapa mifugo tu. Hongera kwa kukaa oyster bay, the last destination ya maji ya kutoka .
Hapo kwenye red umefanya kusudi. ila hongera hata hivyo kwa ubunifu wa ki-mbwa...! Lakini hata hivyo.., kwani maji ya chumvi hayafai kupikia.., au hayafai kuoshea vyombo.., kufulia na kuogea na hata kunywa..??! kwani we una raha gani mpaka usinywe maji ya chumvi..??!!!
 
Hapo kwenye red umefanya kusudi. ila hongera hata hivyo kwa ubunifu wa ki-mbwa...!

Ahahaaaaaaaha. Mkuu sijafanya ubunifu wa kiumbwa. Ni kweli tumechimba visima, sio visimi, samahani kwa ku kwamba natumia ipd so nikindika ndo inaumba sentence . Mkuu maji ni chumvi last time nilinunua nikaishia kumpa jirani yangu mwenye mifugo akawapa ng'ombe wake. Serious.
 
Hapo kwenye red umefanya kusudi. ila hongera hata hivyo kwa ubunifu wa ki-mbwa...! Lakini hata hivyo.., kwani maji ya chumvi hayafai kupikia.., au hayafai kuoshea vyombo.., kufulia na kuogea na hata kunywa..??! kwani we una raha gani mpaka usinywe maji ya chumvi..??!!!

Frans don, kama maji ya chumvi yangekuwa mazuri kama ulivyoyasifia, Jaji letu la Dar lingekuwa linaongoza kwa kuwa na maji chanzo chake kikiwa Indian Ocean. Wataalamu wa visima wametwambia kuwa closeness na Indian Ocean ndo imesababisha Hali iwe hivyo.
 
Ahahaaaaaaaha. Mkuu sijafanya ubunifu wa kiumbwa. Ni kweli tumechimba visima, sio visimi, samahani kwa ku kwamba natumia ipd so nikindika ndo inaumba sentence . Mkuu maji ni chumvi last time nilinunua nikaishia kumpa jirani yangu mwenye mifugo akawapa ng'ombe wake. Serious.

Yaani hilo neno alafu useme maji alafu useme chumvi.., hiyo combination ya maneno umefanya kusudi. Kwa sababu 'a' na 'i' ziko mbali mbali sana kwenye key board layout..!
 
Mi toka nifike Mwanza naona watu wanatafuta hela sio maji poleni wenyewe munaojiita mupo kwenye jiji la maraha
 
Back
Top Bottom