Recent content by Mikongeni

  1. M

    Mwalimu wa Commrce na Book keeping

    Je unaishi maeneo ya Kibaha Kwa Matias? Unaweza kufundisha masomo ya Commerce na Book keeping? Kama jibu ni ndiyo na unapenda kufanya kazi part time, tuandikie na kututumia cv yako na barua ya maombi kwenye email hizi: resbijura@yahoo.com au bijuraa@gmail.com. Mwisho kupokea maombi ni tarehe 30...
  2. M

    Natafuta mbegu nzuri ya nguruwe

    Naomba anayejua Mullins/kampuni inayouza nguruwe wazuri ( wanaozaa watoto wengi na kukua kwa haraka) anijulishe. Nijibu humu au kwenye inbox binafsi: resbijura gmail.com.
  3. M

    Mwalimu wa Chemistry na Biology anatakiwa

    Kama unamjua mwalimu wa masomo haya au unayafundisha vizuri, nitumie cv yako. Kazi ipo Dar na Pwani. resbijura@yahoo.com
  4. M

    Mwalimu wa Muziki na/au uigizaji anatafutwa

    Shule ya sekondari Inspire (Inspire Sec. Schol talent academy) iliyopo Kibaha, inamtafuta mwalimu wa muziki na/au uigizaji kufanya kazi shuleni kwao. Shule ipo karibu na Kwa Matias na hivyo mwalimu aliye maeneo ya kibaha itamfaa zaidi. Piga simu 0786227862 au 0755 872 551 au andika barua pepe...
  5. M

    Walimu wa sayansi na hesabu Kibaha

    Kama unamjua mwalimu wa sayansi na/au Hesabu anayetaka kuanza kazi mwanzoni mwa mwezi kesho (January) anitumie cv yake na barua fupi ya maombi kwenye email address hii:resbijura@yahoo.com au [email]bijuraa@gmail.com. Anaweza kutuma na text message kwenye namba hii: 0755872551 au 0654453579...
  6. M

    NAFASI ZA MASOMO BURE INSPIRE SCHOOL, MIKONGENI- Kibaha

    Imefafanuliwa kwenye kipeperushi. Karibu!
  7. M

    NAFASI ZA MASOMO BURE INSPIRE SCHOOL, MIKONGENI- Kibaha

    Tunatangaza nafasi za masomo ya sekondari, kidato cha kwanza mpaka cha nne kwa kufanya mtihani na kupata alama nzuri za kudhihirisha kwamba utaelewa ukifundishwa vyema. Naambatanisha kipeperushi:
  8. M

    Mwalimu wa muziki au drama Kibaha

    Unatafuta kazi ya kufundisha muziki au drama maeneo ya Kibaha? Niandikie barua pepe resbijura@yahoo.com tupange. Asante
  9. M

    Mwalimu wa Drama / Muziki, Ngoma - Kibaha

    Kama una uzoefu wa kufundisha drama , muziki au ngoma za htamaduni na ungependa kazi maeneo ya Kibaha Maili Moja-Kwa Matias Kibaha, niandikie barua pepe - resbijura@yahoo.com. Kuna opportunity imejitokeza. Asanteni
  10. M

    Mwalimu wa Sanaa/vipaji

    Tupo kwenye hatua za mwanzo hivyo kama mtu anaguswa na hili, basi tunazungumza na yapo mazuri mengi mbeleni. Si vyema kuwachosha wana JF kwa details wasizohitaji. Nitumie ujumbe kwa email address hiyo na tutaongea zaidi. Asante
  11. M

    Mwalimu wa Sanaa/vipaji

    Mimi na wenzangu tunashirikiana kuwasaidia vijana kukuza vipaji vyao maeneo ya Picha ya ndege/ Kwa Matias. Kama we ni mwalimu kwenye maeneo hayo na unajisikia kuwasaidia vijana ili wakuze vipaji vyao, niandikie email ili tuzungumze-resbijura@yahoo.com. Asanteni
  12. M

    Broiler chickens

    Habari wana JF. Naombeni anayejua wanunuzi wa kuku wa nyama (broiler chickens) wanaonunua kiasi kikubwa kama kuku 1000 kwa wiki anijulishe tafadhali. Nafugia Kibaha kwa Matias. Asanteni sana.
  13. M

    AFRISA CONSULTING LTD OF KUNDUCHI TEGETA DAR ES SALAAM ARE LOOKING FOR the Office Assistant

    Job Description: Serving as the primary receptionist; maintaining office operations by receiving and distributing communications; Ordering, stocking, and distributing office supplies; Providing direct administrative support to executive directors; Organizing and maintaining paper and electronic...
  14. M

    Shamba kwa ajili ya kokoto/kifusi

    Mimi nipo Gezaulole, Kigamboni. Wewe upo wapi? Masagati ni sehemu gani?
  15. M

    Shamba kwa ajili ya kokoto/kifusi

    Samahani sikueleza shamba lipo Gezaulole-Kigamboni. Kwa atakayependa naomba anipigie simu kwenye namba yangu niliyoiweka kwenye hili tangazo. Asanteni.
Back
Top Bottom