Recent content by MIKIDADI MIKIDADI

  1. MIKIDADI MIKIDADI

    JamiiForums Tanzania Aandika ujumbe akiwa amefukiwa na ghorofa Kariakoo, "Leo ni siku yangu ya mwisho"

    wangechimbua mashimo kwa chini mana wengine bdo ni wazima wanatokwa jasho tu dah pata picha ndo wewe upo kule chini dah!
  2. MIKIDADI MIKIDADI

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyeadhibiwa adhabu kali ya moto kwa ajili ya kumtesa Paka

    ..paka wangu hali panya anakamata tu na kuuwa huwa ananipa shida kumnunulia vitu ya kupikwa nifanyeje
  3. MIKIDADI MIKIDADI

    JamiiForums Tanzania Njia 20 zilizothibitishwa za kumshawishi mwanamke akupende bila ya kumwambia

    tafuta hela kaka utaoa mwanamke yoyote utayempenda na kwanin ufiche upendo ili kumshawishi akupende bila kumwambia na ktk hzo 20 namba 18 umejichanganya ukalitumia neno NAKUPENDA AU ILOVE U kwa hy inamanisha ni vile tu wewe unatufundisha kujichelewesha kumwambia mwanamke unampenda kwa hyo...
  4. MIKIDADI MIKIDADI

    JamiiForums Tanzania Gamondi anaharibu viwango vya wachezaji

    Gamond ni kocha mzuri tuhuma ulizozileta hazina mashiko,
  5. MIKIDADI MIKIDADI

    JamiiForums Tanzania Aina za wanawake na maumbo yao

    utakae muoa ndo wako haijalish ana tupu gani ili mradi anayo na awe na maziwa ya kumnyonyeshea mtt TU
  6. MIKIDADI MIKIDADI

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfanya mkeo afike mshindo wakati tendo la ndoa

    timiza yote hayo lakini kumegewa muhimu wanawake hawariziki kaka.
  7. MIKIDADI MIKIDADI

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi huwa hawafiki kilelei wakati wa kufanya tendo la ndoa

    mwanamke akitaka kuridhika ni yeye mwenyewe tu sasa utakuta anakutangulizia hela halafu wewe uhangaike kumpatia raha yeye afike kileleni we utakuw mjinga,,,
  8. MIKIDADI MIKIDADI

    JamiiForums Tanzania Fanya haya unapoona hali yako ya maisha ni mbaya au umasikini umezidi

    unapoona maisha magumu cha kwanza muelekee Allah.,umuombe msamaha kwa mabaya na umshukuru kwa yote mazuri aliyokufanyia mpaka kufikia hapo muombe akutilie wepesi katika magumu unayopitia akupe afya njema na abariki shughuli au kaz unayofanya ili iwe na tija kama kazi hauna tafuta au omba msaada...
  9. MIKIDADI MIKIDADI

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na ujauzito wa mpenzi wangu

    ...ungekuwa umemuoa usingekuwa na shaka lakn dah hujuw kama alivyokupa wew aliwapa wangap?ila mimba yako usikwepe majukumu.
  10. MIKIDADI MIKIDADI

    JamiiForums Tanzania Simba ipo Msimbazi Yanga wapo wapi?

    YANGA TUPO JANGWANI .WE ZOMBI WE HAUJUWI!
  11. MIKIDADI MIKIDADI

    JamiiForums Tanzania Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

    ...ulizaliwa 1970 wewe ndy unajuw zaidi yetu kama ilimshinda au haikumshinda kulingana na mateso uliyopitia wakat huo au uchumi wa nch au maendeleo uliyoyakuta akashndw kuendeleza au jns alivyokuw akitawala na utawala wa wakoloni.nadhani ww ndy mwenye majibu wa swali lako,asant
  12. MIKIDADI MIKIDADI

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka kuacha kazi Serikalini sababu ya maslahi madogo

    mwambie aache hiyo kazi kutoka serikalini huku mtaani biashara ya karanga za kuchemsha mbichi au uuzaji maji ktk mkokoteni zina maslahi makubwa sana.
  13. MIKIDADI MIKIDADI

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu zingatia kuepuka kuachana na mambo haya ili ufanikiwe

    umetisha sana nilizan kurasa 6
  14. MIKIDADI MIKIDADI

    JamiiForums Tanzania RC Ayoub Mohamed akemea tabia ya vijana wa Beach ya Kusini Unguja kuiba wake wa Watalii

    they come zanzibar for leisure so may be they like having sex with africans as a part of leisure,!
  15. MIKIDADI MIKIDADI

    JamiiForums Tanzania RC Ayoub Mohamed akemea tabia ya vijana wa Beach ya Kusini Unguja kuiba wake wa Watalii

    Write your reply...hadi wake za watu hiyo sio poa,
Back
Top Bottom