Tanzania tuna safari ndefu sana! kama bado kuna watu wengi wenye mawazo kama uliyoyaleta hapa... ndio maana umasikini hautaisha Tanzania na tutaendelea kuwa omba omba mpaka mwisho wa dunia
inasikitisha sana!
Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema mfanyabiashara wa Dodoma, wito kwa Serekali itoe tamko hatima ya viroba vinavyokamatwa otherwise wafanyabiashara wengi watapoteza maisha.
Mimi sio mwanasiasa ila kwa hili pambano lilivyokuwa linaendelea ninaipa chadema ushindi, wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa na sikujua kama inaogopwa namna hiyo kiasi cha kupelekea serekali kutumia gharama kubwa namna hiyo...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.