Recent content by mikep

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mboga itakayomwagwa na mapacha (RACHEL) ni Gavana Daudi Balali

    Ukitumia Logic ya kawaida kbsa lazma utajua tu kuwa huyu mtu bdo yu hai kwnn mazishi yake yawe ya siri na hakuna marefu yasiyo na ncha kwhyo ipo siku tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mpenzi anataka nichore tattoo

    Ndo maana kasema ya mda mfupi(temporary) ambayo akiamua kufuta anafuta kwhyo wakiachana anafuta tu ana akili sana kama shetani analetwa na tattoo basi wizkhalifa shetani mkuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Basi kama hili likija Bongo, Je kuna njia za kupita?

    Hyo basi mbona ni kawaida tu othrws ungesema kwa vile mfumo wake ni wa left hand hapo kidgo ndo kutakuwa na shda tena siyo barabara ni katika uendeshaji ingawa pia hata barabara zetu mfumo wake umekaaga kwa magari ya right hand ila cyo ukubwa wala udogo wa barabara
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimeshika simu ya mpenzi wangu, sina hamu naye

    Poleee yaan mpka nacheka hapo mkuu unataka ushauri gani maana hata tukishauri ila mwisho lazma ww ndo utajua cha kufanya kwa mimi achana nae maana mpka ameamua kutumia mlango wa nyuma huyo hafai
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wazenji hamuniwezi nasema! niliaga kwetu Iringa

    Ila nyama si zilikuwepo pia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimedisco chuo kisa penzi la huyu mwanamke, najuta sana

    Polee sana mzee afta ol matatizo tumeumbiwa sisi wanadamu ila vingine tunajitafutia tu wenywe nimekuwa nikijiuliza umemtext demu wko mwnywe ukagundua anachepuka ila bdo ukarudi tu ilimradi umfumanie na fwnd wko ili iwaje sasa anyweiz polee sana anza tu upya na usipende tu ilimradi mtu mzuri...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bora kuwa na uhusiano na mke wa mtu kuliko mwanafunzi

    Ila mke wa mtu nayo kasheshe bora kutulia tu mzee
  8. M

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi alivyowadanganya wananchi wa Mbeya 2010 ili apate ubunge

    Tatizo siyo mh mbilinyi kukusanya kodi ila ni ahadi ambazo aliziweka na kushindwa kuzitimiza
Back
Top Bottom