Recent content by mikejo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nilishinda urais lakini CCM wakaupora ushindi wangu na dunia nzima inajua

    leta ushahidi sio siasa wananchi wamekukataa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    yuko live chanel gan?
  3. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo kwimba karibu na misungwi yaan sumve nije karagwe upo karagwe sehemu gan?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Updates za BVR mikoa ya Geita, Mwanza, Shinyanga na Simiyu

    maandaliz kwa mkoa wa mwanza yapo maana wilaya ya kwimba washaandaa waandikishaji n.k xo at any day zoez linaweza kuanza mathalani ni cku saba kila mkoa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    lowasa anafaa ili kutukwamua na majanga maana waswahili husema mwizi mkabidhi nyumba akulindie.
  6. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    nipo kwimba mwanza nahitaji mwl wa kubadilishana naye aje kwimba mi niende morogoro,kyerwa,misenyi,iringa au njombe.tuwacliane@0764663967.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya wa Bunge/CCM kuhusu katiba mpya huu hapa

    We sema nawasubiri sio tunawasubiri.wapinzan hawajitambui kama wana nia ya kuwakomboa wananchi wasingekubal kulipwa pesa zote hzo kwa kupigapiga kelele bila kufanya la maana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa kiwango cha ubora wa elimu nan alaumiwe

    Jaman ndugu zangu tunaelekea wapi?Elimu yetu inakoelekea sielewi maana nimeshangaa kutembelea shule moja ya msingi,drs la tatu had la saba kuna robo tatu kila darasa ambao hawajui kusoma wala kuandika hv kwel WALIMU,WAZAZI.VIONGOZI WA SERIKALI.MAAFISA ELIMU NA WASIMAMIZI WENGNE MPO?inaskitisha sana.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro yafanya vizuri kielimu,Kigoma Singida wafanya vibaya

    Tatizo lenu mmebweteka ati n nshomire had mbwa wangu kasoma Mamburula nyinyi badilika hamuon wenzenu wachaga vyenye wanafanya? Hawarizikagi ndo siri ya mafanikio yao!.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

    hii ndo tz yetu ukickia viongoz mizigo ni hapa tu kwingne wanaiga!.Jaman hata huyu mama tayar kashaanza kupoteza dira?angeulizwa kirefu cha BRN angechemka.Majembe mcfe moyo kaz ni nying za kufanya mctegemee ajira!
  11. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mwl aje kwimba-sumve mwanza mi niende misungwi au mwanza jijin 2wacliane kwa pm
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa matokeo ya udiwani ..ccm kidedea.

    hongera yao wana ccm
Back
Top Bottom