Experience makes a person better or bitter. Kiukweli Sihitaji tena mahusiano na mwanamke yoyote yule,,,,
Wanawake wa kizazi hiki hawajui wanachotaka unaweza piga jitu ukaenda jela Bure na future yako ikapotea,,,, Nimechoka kupigwa matukio aseeh sitaki stress tena life ni fupi wadau. Kuanzia sasa...