CCM haiwezi ng'oka bila kuchukiwa na wananchi. Wengi hawajui vitu vya kuwafanya waichukie. Ndio maana tunahitaji chama kingine kama CDM kielimishe watu sababu nyingi zinazoifanya CCM ifuzu kuchukiwa na mamilioni ya watanzania wote.
Huwezi kuanza kupima mafanikio ya operesheni kabla ya kutambua sababu ya uwepo wa CDM kama chama cha siasa. Then utakwenda mbali kuangalia namna matumizi ya ruzuku na pesa nyingine za chama zinavyoelekeza matumizi. Sasa hapo unatoka nje na kuanza kutambua malengo ya kampeni husika. Kisha unapima...
kinachotokea sasa ni kuwa hata ukilinganisha maneno na matendo ya Katibu Mkuu kama Jairo na Mwalimu Mkuu wa shule ya sekondari ya kata ambaye katika mazingira magumu ameweza kufaulisha wanafunzi kwa kiwango cha madaraja ya kwanza, la pili utaumia sana kichwa kwa kuwa unaishia kujiuliza hivi...
Mi naona kama jamaa wameanza kuwakumbusha viongozi wetu walio lala kuwa sisi ni matajiri. maana kwa mikataba hatuoni hata kwa miwani ya aluminium labda kwa kutuwekea majina ya maudhi kama haya ambayo yanatupa sifa zinazofanana na za JUHA tunaweza funguka na kuona aibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.