RICHLAND Co Ltd hilo ndilo jina jipya la TANZANITEONE Co Ltd..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RICHLAND Co Ltd hilo ndilo jina jipya la TANZANITEONE Co Ltd.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Balozi Chriss, Aug 25, 2011.

 1. B

  Balozi Chriss Senior Member

  #1
  Aug 25, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Napenda kuuliza vipi kuna arufu ya kutaka misamaha ya kodi hapa au ndio Tanzanite imekwisha?
   
 2. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  From SAMAX to AFGEM to TANZANITE ONE to RICHLAND?
  Hili jina la sasa tena ni tusi kabisa RICHLAND!!!!
   
 3. m

  mijaceez Member

  #3
  Aug 26, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi naona kama jamaa wameanza kuwakumbusha viongozi wetu walio lala kuwa sisi ni matajiri. maana kwa mikataba hatuoni hata kwa miwani ya aluminium labda kwa kutuwekea majina ya maudhi kama haya ambayo yanatupa sifa zinazofanana na za **** tunaweza funguka na kuona aibu.
   
 4. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wataalamu wa kodi watakuja kutuambia hakuna ukiukwaji wa kodi hapo, ni taratibu tu za kampuni kubadili jina.

  wataalamu wa international business watatuambia ni utaratibu wa kimataifa unaojulikana kubadili jina la kampuni, mambo ya strategic direction na leadership....wherever wherever!!

  ukweli upo wapi? Hilton nairobi haijawahi kubadili jina tangu miaka ya 80 ilipoanza kufanya kazi, akini hapa kwetu tunabadili majina ya makampuni kila siku! What is the problem?
   
 5. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,077
  Likes Received: 4,661
  Trophy Points: 280
  I am so angry, pressurized, waiting to burst, bcoz look, from SAMAX to AFGEM to TANZANITE ONE to RICHLAND, like camellion, na ukiuliza the so called TRA na wizara + kampuni husika, utapata different answers, majibu kama ni kawaida kampuni kuuzwa na kubadili jina, mara mabadiliko ya uongozi na Company plans, etc, etc, extraaaaa...... but hapa jibu ni moja tu, kukwepa kodiiiiiiii, wamezoea Tax holidays, this is kiddish, childish & babish behaviour our Govern. is doing to this investor, no seriousness at all, i am done.
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wapi Balozi Mpungwe?
   
Loading...