Hapani kilichotokea hatuangalii mtu binafsi isipokuwa ni MINISTERIO RESPONDIBILITY hivyo ndugu hata angekuwa na umuhimu kama Magufuli angrondoka tuu...Hongera CCM kwa ulomavu wa kisiasi inatupa nguvu raia wa Nchi Hiii...
Kilichonishangaza ni kutojitambua huyo padri slaa maana yeye ndie anaepaswa kwenda kwenye press conference na waandishi kama leo hiyo CC yao imewapeleka lisu na mnyika ipi thamani yake kama mtendaji mkuu. Pia bado huo wanaosema wao kuwa na waraka feki bt unahitaji majibu ya msingi mbona bado...
Ahaaa tatizonyie CHADOMO mmezoea kuwashawishi wafuasi wenu kufanya maandamano sasa mnachoshangaa nini sasa acheni upumbavu wa kuwalaumu CCM kama mmeshindwa na hicho chama ni vyema tumrudishie Mzee Mtei maana ndio mmiliki
Hoja yangu kwa lisu JE WARAKA FEKI unatumika KUMUWAJIBISHA MTU........ so inamaana maamuzi yaliyotolewa na CC ya Mzee Mtei hayakuwa sahihi!!!!!!!!!! Sijajua lipi CHad..a Wamekusudia kwa ZZK mungu amuepushe yasimkute ya CHACHA WANGWE maana vijana kama D. Mallia wapo wengii....R.I.P CHACHA...
Naona hao chadema wanaweweseka na mtu mmoja ZITO tu kama hiyo CC imeona hana faoda hebu MFUKUZENI... kopi mnachoogopa hamjajifunza tu hakuwa na heshima kama Mansuri Y. HEMID na katoka au CUF Kwa HAMAD RASHID jifunzeni hiyo yote ni siasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.