Recent content by Miguel Alvarez

  1. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Asante mkuu Ngoja nijimalize na hii😆
  2. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania Movies na series Kali za Kijasusi: Chukua mbili hizi kisha shusha zingine

    Mobland Shetland Day of the Jackal Mayor of Kingstown
  3. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Mkuu zingatia quality ya taswira tafadhali😆
  4. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania Movies na series Kali za Kijasusi: Chukua mbili hizi kisha shusha zingine

    JAribu kuwazingatia Waingereza series zao nzuri sana
  5. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna kikundi kinamilikiwa na mtoto wa Rais ambao ofisi zao zipo kwa ajili ya mitandao ya kijamii

    Mbona makasiriko mkuu Au na wewe ni mwana kikundi mmoja wao ,🤔
  6. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Hahahaha Bibi ukiwa na alosto anakupa mtingo Mjukuu usikae kinyonge😁
  7. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Labda nahisi mahudhui ni Tofauti kidogo sema mobbland Iko na uhalisia Fulani hivi vile tunavyoushi
  8. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Nilipenda sana pale alipomwambia Eddie kuhusu bint yake Kama ukionyesha tabia njema mm Nina accept mahusiano yenu na hapo akijua kabisa lile toto livuta unga lilevi limeeingiza familia kwenye majanga makubwa hawezi kuwa husband material ,dogo aksbaki kaduwaa Kwa hofu 😁
  9. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Noma sana kaka Tom kasimamia show vyema
  10. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kuwa na Subira mkuu Mm hapa nasubiri Mobland,Mayor of Kingstown, Berlin n.k Na bado nimekausha 😃
  11. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Hili Pande linaonekana linapenda sana mizagamuo😃
  12. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Huyo Black ana rangi flani hivi pendwa😍 pendwa
  13. Miguel Alvarez

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dawa ya Mpenzi anayekujibu dharau au ambaye hana muda na wewe ni hii hapa

    Siku hizi mfungi kwenye makaratasi ya Kaki 😳
Back
Top Bottom