Recent content by Migatogubiswe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kutujazia tozo kufidia matanuzi yao

    Dawa ni kufanya biashara za magendo tu, hizo hazina Kodi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Tuliooa kabla ya ushauri wako tufanyaje?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Watu 9 washikiliwa kwa kukutwa na viungo vya binadamu

    Simiyu iko Simiyu mkuu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Waziri Liberata Mulamula! Au Ameparura Mahali?

    Labda ni mjamzito.natania
  5. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wakamata dhahabu ya Sh milioni 140 ikitoroshwa, mtuhumiwa atokomea, atelekeza gari

    Wanakula asilimia 7.3 ya mzigo wako.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tukumbuke watumishi wa NIDA

    Bora mngefukuzwa wote tu,kazi mnafanya kama konokono harafu mkumbukwe Kwa lipi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jicho la kisheria kuhusu uhalali wa barua ya Spika Ndugai kujiuzulu

    Siamtume hata bodaboda akaichukue kutoka Kwa katibu wa ccm,ipelekwe huko Kwa katibu wa bunge? kwani shida Iko wapi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Napoteza pesa mno nahisi kuchezewa

    Kama kweli umesoma Hadi chuo kikuu halafu bado unategemea waganga wa kienyeji na kamali,basi hata ukishauriwa humu itakuwa kazi bure
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Napoteza pesa mno nahisi kuchezewa

    [/ATTACH]
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nahisi kuibiwa na wahudumu wa Halotel

    Duh! Hapo kweli Kuna dalili ya kupigwa.labda uende na huyo jamaa Yako kwenye ofisi zao,ili wakazibitishe deni lake.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Experience yangu ya muda mfupi kwenye "Betting" nimegundua mambo machache

    Nimfumo rasmi mkuu,tunakatwa Kodi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tabora: Nyoka Koboko amekunywa uji wa Moto, amkimbiza Mganga wa Kienyeji

    Hao hawawezi kumrudisha labda wamuue.
Back
Top Bottom