Recent content by Mido8

  1. M

    Mzazi mwenzangu anataka kumbadili dini mtoto wetu

    Wewe ndio Baba, ndio kiongozi na Mlezi Mkuu wa Familia. Kama ww ni Muislam na unaona kabisa kua mwanao anataka kubadilishwa dini, basi ujue unabeba jukumu kubwa sana kwa Mola wako na ujiandae kwa hilo. Usikubali mwanao aharibiwe dini yake na Akhera yake. Mchukue Mtoto wako umlee kwenye Misingi...
  2. M

    Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Zanzibar: Masauni amelewa Pombe gani?

    Hii dunia ni ya kupita tu. Mwisho wa siku sote tutakufa. Maisha yenyewe ya kuishi ni miaka 60 au 70, ikiwa utabahatika kufika. KWA NINI UWE NA KIBURI?
  3. M

    Mungu atamsamehe Ibilisi na kumuingiza peponi kama ataenda kusujudu kaburini kwa ADAMU.

    Tatizo ww unashikilia nikupe ushahidi wa Hadithi Sahihi na wapokezi wake wakati hicho ni kisa tu.
  4. M

    Mungu atamsamehe Ibilisi na kumuingiza peponi kama ataenda kusujudu kaburini kwa ADAMU.

    Hivi ww unaelewa maana ya Hadithi na Maana ya Visa? Hebu kwanza tofautisha kati ya Hadithi za Mtume(S.A.W) na Visa. Mimi nimezungumzia kisa sijazungumzia Hadithi.
  5. M

    Mungu atamsamehe Ibilisi na kumuingiza peponi kama ataenda kusujudu kaburini kwa ADAMU.

    Mimi namuelekeza mtoa mada unakuja kuniandama mm. Hebu kasome kitabu cha قصص الأنبياء
  6. M

    Mungu atamsamehe Ibilisi na kumuingiza peponi kama ataenda kusujudu kaburini kwa ADAMU.

    Aliesema kuwa ni Quran ni mtoa mada, mm namwambia kuwa kanukuu vibaya hii si Quran bali ni Kisa katika visa vya Mitume.
  7. M

    Mungu atamsamehe Ibilisi na kumuingiza peponi kama ataenda kusujudu kaburini kwa ADAMU.

    Nimekwambia umenukuu vibaya, Sio Quran bali ni kisa katika Visa vya Mitume.
  8. M

    Mungu atamsamehe Ibilisi na kumuingiza peponi kama ataenda kusujudu kaburini kwa ADAMU.

    Mkuu hapa umenukuu vibaya. kisa hicho kipo hivi, Ibilisi alijigeuza katika maumbile ya binadamu na alimfata Nabii mussa wakati anaenda kupokea kitabu cha "TAURAT", ibilisi akamwambia Nabii mussa kuwa Ukifika kwa mungu wako naomba umuulize kuwa, jee Mungu ataweza kunisamehe dhambi zangu ikiwa...
  9. M

    Sababu ya mgogoro wa Israel na Palestine ni hii yapa

    Hii ni sura ya 5 aya ya 78. ila kiukweli ukitaka kuwajua hawa watu wa Israel Soma sura hii ya 5 kuanzia aya ya 12 na kuendelea wameelezewa vizuri sana.
  10. M

    Ni kosa kubwa kuruhusu mke wako afanye kazi

    Sio vizuri kujisifia kuwa ww ni mzinifu, Jua kila unalofanya linaandikwa na utahukumiwa
  11. M

    Nasumbuka na uzazi

    mm nimehangaika sana na mke wng miaka 5 ya ndoa. kila aina ya dawa zimetumika. mwisho tulienda TMJ Hospital tukakutana na Dokta Debora. na ww pamoja na huyo mumeo mungeenda maana yawezekana tatizo liko kwake. Wala msijali dawa zipo nyingi tu.
  12. M

    NAWEZA KUPATA HOSPITAL NZURI INAYO DILI NA MASWALA YA UZAZI?

    mkuu ukihitaji msaada wowote hata PM unaweza nitumia msg, Pale TMJ wana maabara nzuri sana.
  13. M

    NAWEZA KUPATA HOSPITAL NZURI INAYO DILI NA MASWALA YA UZAZI?

    Pole sana Mkuu. Ila nakushauri muende Muhimbili(Wewe na Mkeo) omba kuonana na Gynecologist. Pia pale TMJ yupo Gynecologist mzuri tu anaitwa Dr. Debora.
  14. M

    WAKATOLIKI: Je, unamuamini vipi padri unayekwenda kuungama/kutubu dhambi mbele yake?

    Kwa nn ukatubu kwa binaadamu mwenzako? Mungu yupo na anasamahe makosa yote tunayoyatenda. Kila mtu ni mtenda dhambi(ikiwemo huyo padri) so tunapaswa kutubu kwa muumba pekee sio kwa kiumbe mwenzako.
Back
Top Bottom