babu kavu
Senior Member
- Jul 4, 2022
- 117
- 123
habari Wana jamii forum,nilikuwa naishi na mzazi mwenzangu lakini kwa bahati mbaya tukatengana ,kipindi hicho tunatengana sikuwa najiweza Sana kiuchumi hivyo hata huduma za mtoto sikuwa napeleka kwa usahihi (mtt alikuwa na miaka miwili)...maisha yakaendelea,mambo yangu yakaanza kurudi kwenye mstari nikawa napeleka huduma vizuri ..Sasa hivi Kuna Jambo kaligusia na yupo serious anataka kummbadili mtoto dini kutoka uislamu kwenda ukristo kiukweli hili sijapendezewa nalo kabisa...na Kuna siku nimeongea na mtoto ananiambia baba Mimi nimekuwa mkristo(Ana miaka minne)
-ikiwa Mimi nimekubali kubeba majukumu kwa mwanangu na ndiye baba halali wa mtoto kisheria imekaaje !?je mama yake anaweza kumbadili tu dini mtoto kwa sababu anakaa naye!?
KARIBUNI
-ikiwa Mimi nimekubali kubeba majukumu kwa mwanangu na ndiye baba halali wa mtoto kisheria imekaaje !?je mama yake anaweza kumbadili tu dini mtoto kwa sababu anakaa naye!?
KARIBUNI