Ndoto zako zote za kutaka kuwa Raisi wa JMT zitagonga mwamba,Eti unategemea majeraha yako ili kupata Huruma ya watanzania,
Watanzania hatuwezi kuwa na Raisi Mchochezi, Raisi anaetegemea Huruma huruma, Raisi ambae muda wowote na saa yeyote anaweza kutupeleka Utumwani kwa mabeberu,
Ulikuwa...
Report tu pekee hakuna kingine? Unatakiwa uje na ushahidi hapa ni wapi hizo hela unazosemea zimepelekwa, Kama ni bank kwenye Acount namba gani? Jina la bank usika na ni Nchi gani kama ni Tanzania au nje.
Siyo tu unakuja na maneno bila kutoa ushahidi wa wapi hizo hela zimewekwa.
Unataka tuwe na mawazo sawa kama yako mkuu?
Kwa nini mwingine akienda kinyume na kile ukiwazacho/kitakacho wewe kiwe kosa,
Aya niambie kutokujitambua kwangu kukoje? Niambie pia kosa gani nimefanya la kufanya nije kutubu?
Pia niambie ni Upuuzi gani nilioundika mpaka wewe umeona ni upuuzi...
Lini hizo Annual increment unazosemea mliwahi kusema zinatosha, ata wakiwapa na kuwapandisha madaraja bado hamtakosa visingizio,
Kikwete aliwapa kila kitu na bado mlimtukana na kumwita dhaifu, kwa sasa tumepata Jiwe, Chuma cha pua.
Go JPM kwa sasa ni muda wa Kujenga nchi mambo mengine yote ni...
Licha ya mapungufu yake machache na hii ni iko kwa wanadamu wote waliotoka kwenye Tumbo la mwanamke,
Hakuna aliye kamilifu kwa asilimia 100,Mapungufu yake machache hayawezi kufanya nisione Mema anayofanya,
Mwaka 2020 Naenda na JPM, Jiwe shupavu, Chuma asiyeweza kuyumbishwa,Kwa mafanikio ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.