Kujitakia ndio nini ukijenga Barabara chini ya kiwango na waziri akaipokea hivyo hivyo inakuwapoa au nikujitakia?Lissu anatia mashaka sana kushirikiana na wazungu ndege ya kwanza na ya pili zilitengenezwa huko huko Canada hazikukamatwa,Lissu kutaka kuikwamisha serikali kulifufua shirika letu...
Mpime ngoma then piga mzigo wa hatari mpaka akuamkie mininae mmoja SAA hizi tuna watoto wawili maisha raha mstarehe.
Sent using Jamii Forums mobile app
huo ni uchumi uchwara tuliokuwa nao watu wanakopa hawalipi wanakuza biashara zao bila kurejesha,hiki sasa ndio kipindi cha mpito cha watu hawa ndio wajue kufuata principles za biashara na mikopo sio ujanjaujanja.
Nyie Majizi na wenzio ukitaka muwaibie wananchi halafu mmbelembelezwe kufukuzwa,safari hii mlio Zoe kuishi kwa ujanjaujanja mmekwama,kutaendea kuwatimua tu,nahilo kubwa la majizi Mamvi nalo bado muda wake,hatutabembeleza mwizi!
Hizo tembe sisi hazituhusu sisi tunataka maendeleo tu na atimize ahadi zake dawa tupate,maji,umeme sijui Rais kala wali,tembe,sijui maharage haituhusu lete issues.
mkuu nakuunga mkono saikolojia tu inagoma kuuaminisha ubongo wangu jangili mwenye mawazo pevu ya kushusha ndege si hohehahe watu wadili kubwa si hohehahe mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.