Mi nafikiri japo sheria zipo kuna haja ya kutumia ule msemo wa kwenye Biblia "Jino kwa Jino" Hawa Walimu 5 nao waundiwe tume ya Mibaba 25 wanyanyua vitu vizito ambao tutawagawa kwenye makundi 5,Hapo kila mwalimu atakuwa amepata Mibaba mi5 itakayompa kichapo kitakatifu.Na baada ya hapo zifuatwe...
Mi nafikiri japo sheria zipo kuna haja ya kutumia ule msemo wa kwenye Biblia "Jino kwa Jino" Hawa Walimu 5 nao waundiwe tume ya Mibaba 25 wanyanyua vitu vizito ambao tutawagawa kwenye makundi 5,Hapo kila mwalimu atakuwa amepata Mibaba mi5 itakayompa kichapo kitakatifu.Na baada ya hapo zifuatwe...
Awamu hii hatuna cha kujutia kuhusu wananchi,yote haya Kupanda kwa VAT benk na miamala ya simu,Uhakiki wa wanafunzi hewa na wafanyakazi hewa usio na kikomo,kusitisha ajira,Mizigo kupungua bandarini,Kuhamia Dodoma,Ujenzi wa Uwanja wa ndege Chato,Ununuzi wa ndege,Madereva kukosa mizigo ili...
Elimu bure kwa wapiga kura.Polis wanalipwa na serikali iliyopo madarakan japo n kodi za wananchi wote nyie mnadhani watafuata maagizo ya nani? Na bado CCM wakihitaji kufanya mikutano ya hadhara watakwambia Hali ya amani ipo sawa mikutano ya hadhara ruksa.
Tusichangie Maada kwa ushabiki,Hali uchumi kupanda au kushuka kila mmoja aangalie kwenye familia yake na majirani zake,ndipo mtajua takwimu zinaweza kusema Uchumi umepanda kwa 100% lakn ukaendelea kuona watu wakishindia mlo mmoja.
Nchi hii inakumbatia sana watu waongo,ukisema ukweli jamii lazima ikuchukie.Ukweli ni kwamba walimu wetu wengi ni maskin.Mshahara anaochukua wote unapotelea kwenye maden ya mwez uliopita.
Taarifa kama hizi ni Muhimu kwa Mtendaji yeyote wa Serikali ambae anajijua ameteuliwa.Wanajua nini Mtukufu anapenda kukisikia.
Hizo ni Data za kupalilia Kibarua kisiote Nyasi na sina Imani kama kuna ukweli hapo.
Huo ni mchezo wa Draft,unachezwa na wakubwa wetu.Sie ni watazamaji wa mchezo kimoyomoyo tunasema "angecheza pale angekula" lkn mawazo yetu n tofauti na anaecheza kwani yeye ameiona KETE nyingine atakayokula bila kuliwa.
Binafs bado ninaimani na CHADEMA,naamini hawajakurupuka kwa maamuzi...
Hilo ndilo lengo la Kubadirisha mkuu wa mkoa siku chache kabla ya 1st/9.Mtukufu alihitaji mkuu wa mkoa kama huyo ili akamdhibiti Lema.Naamini jua halitazama watakuwa washamwachia.Tofauti na hapo,vyombo vya usalama vinazidi kujiongezea chuki kwa raia wao.
Uvccm roho inawauma kuona mission yenu imefail,mmegeukia kwa mtoa mada kuwa anatoa taarifa kama nani?
Kwani #Pasco ni nani kutoa taarifa kuwa mwenyekiti wa CDM taifa atasafiri 28.9.2016? Tulieni dawa iwaingie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.