Recent content by MICHO THOMAS BK

  1. M

    Ukweli kuhusu udsm kuchafuliwa.... Mimi natubu.....

    Kumbe bado tuna watu wenye mawazo ya kumbanisha vyuo pole sana kama mmechaguliwa vyuo kufuta majina sio kwenda kusoma na kutafakari namna ya kupambana na changamoto zinazo tukabiri vijana,najua mtakuja elewa baada ya kumaliza hivyo vyuo vyenu mnavyo tukuza na kuanza kuangaika na Bahasha mtaani...
  2. M

    Redio imani: Tcu imewekwa kudhoofisha uislamu

    Exellent mkuu hawa jamaa cjui wanataka nini.
  3. M

    Mapenzi na chuo vyuo vikuu Tanzania

    Ujumbe umefika mkuu hizi ndo habari na hoja tunazo zitaka.
  4. M

    Kwa wale wa chuo cha kodi (ita) dar es salaam soma hapa!

    Sawa mkuu! lakini naomba utumie busara kumshauri mtu tusije tukafanya jukwa kuwa fb nafikiri umenielewa kwenye maelezo yangu kwenye post kama inakuhusu unaweza kuchangia.
  5. M

    Kwa wale wa chuo cha kodi (ita) dar es salaam soma hapa!

    Kwa yoyote aliye chaguliwa chuo cha kndi Dar ita naomba tutafutane mimi ninashida ya hostel sijui zinatosha au nianze mchakato wa kusearch room Mikocheni B.Tafadhari mwenye kujua au anayepiga pale anijulishe.
  6. M

    Form 4 lavuja maswali haya hapa ya kesho

    Jamani mnatuchafulia jukwaa mimi nafikiri wanaoingia huku ni watu wenye busara na maono sasa sijui vichaa wanatokea wapi? Nafikiri wanajanvi hawa wafunguliwe Milembe forum.
  7. M

    Naomba msaada nimelalia chandarua mpya ya bush baada ya muda nimeanza kuota upele.

    Asante mkuu ila nimeamua kutoitumia tena! Maana imenichafua kwel mikonon na sehemu nyingine na vipele haviwashi sana cjui kwanini.
  8. M

    Naomba msaada nimelalia chandarua mpya ya bush baada ya muda nimeanza kuota upele.

    Hapana sikuifua mkuu. Yani naona upele unaongezeka sijui nifanyeje mpaka leo nimeamua kutoitumia leo.
  9. M

    Naomba msaada nimelalia chandarua mpya ya bush baada ya muda nimeanza kuota upele.

    Naomba msaada wana janv mimi nimetumia chndarua baada ya siku naona naota vipele sehemu mbali mbali za mwili hasa mkono mmoja ambao nilikuwa nimeuweka kwenye chandarua kwa sababu nilikuwa sikichomeki kitanda kikubwa na upele kama hauna husaa mwingi.
  10. M

    Wanafunzi wa washindwa kufanya Necta Kasulu Kigoma, source TBC

    Hilo si tatizo la kulaumu serikali maana hopo ni tatizo la watoto wenyewe na wakuu wa shule husika.Serikali imeweka vigezo lazima vifuatwe kama wameenda kinyume na taratibu kaz kwa wazaz kuwaburuza wakuu wa shule mahakamani.
  11. M

    Kwa wale wa chuo cha mipango dodoma, 1yr and cont.. Soma hapa!

    Umechaguliwa pale kuchukua nn na kwa level gan eb funguka kijana tukusaidie!
  12. M

    Muda kama huu kipindi cha Mungai na Prof. Maghembe.

    Kama itakuwa hivyo labda mambo yanaweza kuwa mazuri kwa kupunguza wasomi feki.
Back
Top Bottom