Kwa wale wa chuo cha kodi (ita) dar es salaam soma hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale wa chuo cha kodi (ita) dar es salaam soma hapa!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MICHO THOMAS BK, Oct 11, 2012.

 1. M

  MICHO THOMAS BK Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa yoyote aliye chaguliwa chuo cha kndi Dar ita naomba tutafutane mimi ninashida ya hostel sijui zinatosha au nianze mchakato wa kusearch room Mikocheni B.Tafadhari mwenye kujua au anayepiga pale anijulishe.
   
 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  sasa mkutane ili iweje? Jifunze jinsi ya kujieleza
   
 3. M

  MICHO THOMAS BK Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa mkuu! lakini naomba utumie busara kumshauri mtu tusije tukafanya jukwa kuwa fb nafikiri umenielewa kwenye maelezo yangu kwenye post kama inakuhusu unaweza kuchangia.
   
Loading...