Naomba msaada nimelalia chandarua mpya ya bush baada ya muda nimeanza kuota upele. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada nimelalia chandarua mpya ya bush baada ya muda nimeanza kuota upele.

Discussion in 'JF Doctor' started by MICHO THOMAS BK, Oct 10, 2012.

 1. M

  MICHO THOMAS BK Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba msaada wana janv mimi nimetumia chndarua baada ya siku naona naota vipele sehemu mbali mbali za mwili hasa mkono mmoja ambao nilikuwa nimeuweka kwenye chandarua kwa sababu nilikuwa sikichomeki kitanda kikubwa na upele kama hauna husaa mwingi.
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,832
  Trophy Points: 280
  Uliifua?
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Allergic reaction na dawa probably, ukiacha kutumia/kugusa itapita kwa mengine mwone doctor au pharmacist akupe cream ya kukupoza.
   
 4. M

  MICHO THOMAS BK Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapana sikuifua mkuu. Yani naona upele unaongezeka sijui nifanyeje mpaka leo nimeamua kutoitumia leo.
   
 5. M

  MICHO THOMAS BK Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu. Sijui hiyo dawa inaitwaje.
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwaheri mwalimu
   
 7. M

  MICHO THOMAS BK Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu mbona sikuelewi?
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Ni permethrine. Nenda hospitali na umelezee dr. Atakuambia what next
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Namaanisha una alergy na dawa ya kuzuia mbu kwenye chandarua, sijui utapewa dawa gani pharmacy, labda hauhitaji hata dawa acha kutumia hiko chandarua chenye dawa.
   
 10. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Vyandarua vya msaada wa George W Bush??
   
 11. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mkuu dawa hapo ni kuiloweka hiyo chandarua kwa sabuni ya unga kwa siku 3 ili kupunguza ukali wa dawa.hata mimi ilikuwa hivyo.
   
 12. M

  MICHO THOMAS BK Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio mkuu! Huyu Bush sijui anatupeleka wap.
   
 13. M

  MICHO THOMAS BK Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu ila nimeamua kutoitumia tena! Maana imenichafua kwel mikonon na sehemu nyingine na vipele haviwashi sana cjui kwanini.
   
Loading...