Recent content by michael nyalusi

  1. M

    Kura ya endapo tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi irudiwe?

    Na Michael K. Phiri Habari ya kazi kwa wale wafanyakazi wote uwe mkulima, mvuvi, nk. Leo napenda kuzungumza na wapenda demokrasia wa hapa nchini kwetu, hasa vyama vya siasa na wanachama wake, mara nyingi nimekuwa nikisikia lawama nap engine kuona maandamano ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa...
  2. M

    CHADEMA Ludewa O. Haule ni chaguo letu wananchi, ushaidi wa kadi ya gari huu hapa

    Wengi tumekuwa tukistaajabu juu ya hali ya siasa wilayani Ludewa kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) hasa kwa iki kinachoendelea mitandaoni kwa kuchafuana na kupandikiza chuki zisizo kuwa na msingi. Kuna mtu ambaye ajitambui aliweka hapa JF jambo la uongo linalolenga kukiua...
  3. M

    Mkapa na Mwinyi, Nyerere aliwapigia debe hadharani, nanyi mpigieni debe Mako, hadharani, anatufaa

    Tunaompenda makongoro tuko wengi nimeamua kujitokeza makongoro ndiyo pekee hakuna mwingine Hata mimi ni mpenzi wa uzalendo makongoro ndiyo pekeee
  4. M

    Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    PM please S1669.0100/2011 s2649.0001.2010
  5. M

    Babu Seya: Ufafanuzi juu ya uvumi unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii

    habari nilizozipata ivi punde zinasema babu seya kaachiliwa huru naomba usibitisho jamani ========== TAHADHARI: UVUMI SI WA KWELI Picha inayosambazwa kwenye mitandao ni ya Oktoba 2013 wakati wakitoka Mahakamani pia tetesi hizi si za kweli. Kilichosambazwa na blogs nyingi ni mipango yao...
  6. M

    Ulipokuwa umepita kwa speed tulijua unaijua njia, mbona unarudi, nyuma kunani?

    Siwezi kuwa hopeless kwa sababu moja tu 1. umesema GF ni mahali pa kuchambua mada tata na zenye kufikilisha ubongo Je! unajiona uko sahihi au mimi niko sahihi? nimekuwekea mada ya kukufanya ufikilishe kichwa kama wewe unavyotaka, umenichukia. Ndugu yangu kufikilisha kichwa sio sawa na kusema...
  7. M

    Ulipokuwa umepita kwa speed tulijua unaijua njia, mbona unarudi, nyuma kunani?

    Pongezi zako mkuu kwa kuwadadavulia wale wengi waliokimbia somo letu la Lugha ya taifa, mimi nimebaki nashangaa! kulikoni! mbona gari imepita kwa speed na kisha ina rudi tyre zimepasuka? Ni kweli Mh balozi katusahau tuliomchagua na kuamua kuwasikiliza ndugu zake na aliowateua kumsaidia kazi...
  8. M

    Ulipokuwa umepita kwa speed tulijua unaijua njia, mbona unarudi, nyuma kunani?

    Kiongozi unaonekana una ubongo mdogo wa kufikiri au upeo wako ni mdogo, wewe mwenyewe kwa mkono wako umeandika "GF ni mahali pa kuchambua mada tata na zenye kuufikirisha ubongo" unashindwaje kuchambua mada yeye wepesi kama hii? mada ambayo tayari kwa upeo wangu naona iko wazi sana, pole kwa...
  9. M

    Ulipokuwa umepita kwa speed tulijua unaijua njia, mbona unarudi, nyuma kunani?

    Mungu asaidie ujumbe huu umfikie Mh Balozi, nilimpigia kura kwa moyo wangu wote sasa mbona tulichomwambia afanye hafanyi badala yake anatumiwa na Wanafamilia weke? anashauliwaje na wazee masuala ya vx wakati zamani hazikuwepo? hao wazee wanazijulia wapi? wakati hata izo vx hawana?
  10. M

    Ulipokuwa umepita kwa speed tulijua unaijua njia, mbona unarudi, nyuma kunani?

    Washauri siku zote wamekuwa ni watu wabaya hasa wanaokushauri wewe ndugu yetu na rafiki yetu mpendwa, kumbuka sisi wananchi ndo tumekupa ubalozi wa kijiji chetu, kwa kura zetu na tukaona unatufaa kwa kuwa ni mwenye huruma na mali zetu, tulishangaa sana kuona kila tunalokuambia la kuleta...
  11. M

    Wazanzibar! Iko wapi MV Mapinduzi?

    Mara nyingi nimekuwa nikisikia tetesi kuhusu serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kuzurumiwa meli MV Mapinduzi, na mimi sina uhakika nalo naomba Wazanzibar mtujuze Watanganyika meli hii iko wapi?
  12. M

    Toyota rav 5 inauzwa

    nauza toyota Rav 4 ni milango mitano iko katika ali nzuri bei ni Tshs 8.5m ni Automatic engine aina ya 3s cc1998 ya mwaka 2000 kwa mawasiliano zaidi piga simu number 0753800808 au 0712464666 au 0262790003 au email: michaelnyalusi@live.com
  13. M

    Nauza toyota rav4 milango mitano

    tuwasiliane kwa mawasiliano hayo au michaelnyalusi@live.com
Back
Top Bottom