michael nyalusi
Member
- Jul 19, 2013
- 38
- 21
Na Michael K. Phiri
Habari ya kazi kwa wale wafanyakazi wote uwe mkulima, mvuvi, nk.
Leo napenda kuzungumza na wapenda demokrasia wa hapa nchini kwetu, hasa vyama vya siasa na wanachama wake, mara nyingi nimekuwa nikisikia lawama nap engine kuona maandamano ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa ama ya kuomba uhuru wa demokrasia utawale nchini kwetu ama haki ya kidemokrasia kutotendeka, kwangu nimekuwa na kigugumizi kabisa kushiriki demokrasia moja kwa moja au kinyume chake
Mwenzenu nikajiuliza je Tanzania ni nchi ya kidemokrasia?
Baada ya swali langu kutawala kichwa changu kwa muda mrefu jibu nikapata kwamba Tanzania, ina wabunge kutoka vyama pinzani, ina madiwani kutoka vyama pinzani, ina wenyeviti wa mitaa na vitongoji kutoka vyama pinzani na ina wenyeviti wa halmashauri na mameya wa miji na majiji kutoka upinzani ivyo generally ni nchi ya demokrasia.
Nikajiuliza tena kwa nini wapinzani wanasema hakuna uhuru wa demokrasia?
Nikajikuta najipa jibu kwa uwarakini kabisa kwamba pengine ni kwa sababu haikuwai kutokea chama cha upinzani kikashinda kiti cha urais (kutangazwa), katika nchi hii, je! Wapinzani uwa awashindi? Mbona uwawanasema kwamba wameporwa matokeo? Mbona hakuana hatua zozote ambazo uwa wanazichukua? Najikuta naishia kujiuliza maswali pasipo majibu
Sasa ninajiuliza swali jingine kuu ambalo ndiyo msingi wa andiko langu kwa leo
Je! Demokrasia ya Tanzania ilipatikana kidemokrasia?
Hapa najikuta naumiza kichwa indeed eti kwamba kura ya maoni iliyopigwa mwaka 1992 iliikataa kabisa demokrasia kutawala nchi hii, kura hiyo ya maoni ilisema Tanzania haihitaji demokrasia kwa wakati huo, wapiga kura wengi au watoa maoni hawakukubaliana na nchi yetu kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi, sasa najikuta najiuliza swali jingine
Je! Ilikuwaje vyama vingi vikaingia nchini ili hali wananchi hawakukubaliana na demokrasia?
Itaendelea …………………………………………………………………………