Recent content by Michael Mwakyusa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Haiba za wakuu wa shule za sekondari za zamani

    duh 2007 post inazungumzia wa enzi hizo kama dudu pale Tosa na 1988 na Lima Rungwe sec 1983.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tafakari baada ya Kuvunjwa Msikiti wa Kimara Mwisho

    kule Mosul iraq ISIS walivunja msikiti wenyewe na kukimbia baada ya kuona kwamba wanakaribiwa na majeshi ya serikali.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Soma: Ujumbe muhimu kwa wasomi kuhusu ajira

    hivi diamond anatembeza karanga mtaani mi naona sio sahihi kumlinganisha diamond na mtu anayegraduate leo chuo na karanga za diamond mtaji wake ni mkubwa sana sio za kukaanga kwenye sufuria na promo ya hizo karanga ipo kwenye radio tv stations na blogs mbalmbali za hapa bongo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro kama ulivyoonekana leo asubuhi

    KINAPA wamefanya jitihada gani hapo? Greenhouse effect na depletion of the ozone layer ndio inayosababisha global warming ambayo inasababisha ice sheets na ice caps kama hiyo ya kilimanjaro kuyeyuka na hiyo green house effect inasababishwa na emmision of greenhouse gases kutoka kwenye mitambo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    s Story za wapinga kristo ni za mtaani tu hakuna kitu kama hicho.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    hizo story tu za mtaani za wapinga kristo nilimshangaa sana Gambo alipokuwa anamkashifu mtumishi wa Mungu kwa story za mtaani neda pale kanisani kashuhudie kama kuna kitu kama hicho.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwanahabari wa michezo, Limonga Justine Limonga afariki dunia

    mtangazaji wa kitambo R.I.P
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uvunjaji Msikiti kwa kuvizia maana yake nini?

    dah kumbe jerusalemu ilishawahi tekwa na waislam kwa maana hiyo waisrael wana haki ya kuidai jerusalem yao.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awasilisha fomu zake za rasilimali na madeni Tume ya Maadili, viongozi watakaochelewa kukiona

    hivi huko nyuma kabla hajawa rais sijui kama alishapeleka.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naangalia hapa sinema ya Yesu kwa jicho la kigreat thinker; nimeielewa tofauti kabisa leo

    yaani wakatoliki waweke picha ya muigizaji jamanihii sio kweli .picha unazoziona sio za brian ebu ziangalie vizuri tena ni za kuchora sio za camera acha kupotosha umma.unaijui vizuri katoliki wewe au unacheza.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania Daima lafungiwa kwa siku 90 kwa kuandika habari zinazo daiwa ni za Uongo (Oct 2017)

    Mbona magazeti ya serikali na yale ya CCM yanamakosa kibao lkn ni body cares.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ualimu

    funguka kidogo.uzoefu /degree yako ni ya elimu au?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Fred Mpendazoe atangaza rasmi kurudi CCM

    ife kwa sababu ya mpendazoe hayo ni mapandikizi yanarudi yalikotoka.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bashe: Ualimu ni chaka la watu waliofeli, Hakuna dira ya taifa la viwanda

    nawajua walimu wengi tu waliofaulu vizuri div one na two aache kujenerolaizi kawatukana walimu aombe radhi.
Back
Top Bottom