Recent content by Michael makene

  1. Michael makene

    JamiiForums Tanzania Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Hilo shirika ni kuwapeleka mahakamani ti.
  2. Michael makene

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TANESCO hawataki kuwaunganishia umeme wateja wa Bei ya 27000

    Mzee Mimi nimelipia 22/10/2021 mpaka leo ni chenga chenga.. nitawapeleka mahakamani kwa wizi wa kuaminika wamekusanya elfu 27 zetu alafu leo waje waseme hazitoki huo ni utapeli Kama utapeli mwingine..0757415111 Nicheki tuunganishe nguvu tukawafungulie madai ya fidia ya billion 10...
  3. Michael makene

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TANESCO hawataki kuwaunganishia umeme wateja wa Bei ya 27000

    Nitawapeleka mahakamani tanesco Tanzania tokea 22/10/2021 mpaka leo hawataki kunifungia umeme Kama pesa ni ndogo waliipokea ya nini? huo ni utapeli Kama wakijipatia pesa kwanjia ya uraghai
  4. Michael makene

    JamiiForums Tanzania Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Nimelipia 22/10/2021 mpaka leo sijafungiwa huduma yaani miezi 8 tanesco bado wanatafuta waya na nguzo moja...mbona huduma zenu zinakuwa za kubabaisha nyie watu? mnatengeneza mazingira gani Kama sio usumbufu kwa wananchi....naitwa Michael makene Lusato niko mkoa wa mwanza wilaya ya ilemela kata...
  5. Michael makene

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimelipia 22/10/2022 lakini mpaka leo sijafungiwa huduma ya umeme kila nikienda ofisi zenu za mwanza igogo ni chenga zisizoisha. hivi kweli shir ika la tanesco mnakataa miezi 8 bila kumfungia mteja huduma? Kuna jirani yangu kalipia mwezi 3 2022 kaisha fungiwa huduma. kuna mazingira gani hapa...
  6. Michael makene

    JamiiForums Tanzania Kwanini Umoja Party wanaweka picha ya Hayati Magufuli kwenye tisheti zao?

    Kiongozi wa hiki chama yoyote tuwasiliane nataka tushirikiane kukijenga hiki chama hapa mkoa wa mwanza..0757415111.
  7. Michael makene

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mjasiriamali anyang'anywa bidhaa zake na watendaji wa jiji la Mwanza

    Wanakamata mpaka blezia za wamama wanapelekea hawala zao... wanakamata vitumbua na mandazi wanapelekea hawala zao
  8. Michael makene

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mjasiriamali anyang'anywa bidhaa zake na watendaji wa jiji la Mwanza

    Huu mchezo umekomaa hapa jiji la mwanza juzi wamenikamatia nguo zangu wakaenda kuzigawana huyo mwenye tishet ya Tanzania anaitwa Chacha ni bigwa wa kuchukua Mali za watu na kupiga watu
  9. Michael makene

    JamiiForums Tanzania TRA wekeni mfumo wa wazi au App ya kuangalia taarifa za usajili na ulimiki wa Vyombo vya Moto ili kuepusha hizi kadi feki

    Wanaficha kwakuwa wananufaika....upigaji nchi hii nikama sera
  10. Michael makene

    JamiiForums Tanzania Serikali-Bima ya Afya kwa wote inawezekana kwa kila mwananchi kutoa shilingi 5,000 kwa mwaka

    Wazo zuri sana likifanyiwa kazi litaokoa maisha ya watanzania wengi tunaoteseka na maradhi majumbani kwa kukosa fedha za matibabu
  11. Michael makene

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Samaki Mto Mara: Mvua ilitibua tope na Mafuta yanayoelea ni mafuta ya mimea iliyo chini ya Mto Mara

    Nchi inapitia kipindi kigumu Cha majaribu ya kiuongozi.....hapa ndipo naona utofauti wa nchi kuongozwa na rais na kuongozwa na rahisi
  12. Michael makene

    JamiiForums Tanzania Prof. Samuel Manyele wa Tume ya vinyesi vya Ng'ombe Mto Mara

    Usikute ndie alipima papai na mbuzi vikawa na korona😀😀
  13. Michael makene

    JamiiForums Tanzania Prof. Samuel Manyele wa Tume ya vinyesi vya Ng'ombe Mto Mara

    Hii ripoti hata Mimi wa darasa la 3B naiona imechangamshwa yaani ng'ombe anye mpaka maji yageuke sumu yaue samaki😀😀 acha waendelee kuwabeba wawekezaji kwa uongo kwenye maisha ya watu
Back
Top Bottom