Recent content by Michael king111

  1. M

    JamiiForums Tanzania NNAOMBA KUJUZWA CLUB ZENYE TOTOZ KALI KWA HAPA DSM

    club gan ? na ipo wap? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania NNAOMBA KUJUZWA CLUB ZENYE TOTOZ KALI KWA HAPA DSM

    umejuaje bro......ndyo penyewe hapo nipe information chap !
  3. M

    JamiiForums Tanzania NNAOMBA KUJUZWA CLUB ZENYE TOTOZ KALI KWA HAPA DSM

    so tell me the club's name and where it is found
  4. M

    JamiiForums Tanzania NNAOMBA KUJUZWA CLUB ZENYE TOTOZ KALI KWA HAPA DSM

    nnahitaj kula bata tonight
  5. M

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Nnaomba kujuzwa kwa anayefahamu ...hivi kwa mwaka huu Kuna uwezekano wa kuama comb PCB to PCM (point zinaruhusu vyema) Na pia nnaomba kujuzwa kwa wazoefu wa PCB eti DISSETING KIT inapatikana maduka gani na kwa bei ya range ngap?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Tatizo kwangu shule yenyewe inaitwa kwemaramba imeanza kuchukua form 5 mwaka Jana nikimaanisha sisi ndyo awamu ya Pili.....hyo shule hawajaweka hata contact zao internet ...na website yao Ni ya o'level kwa sababu ilkuwaga na 1 mpka 4 ILA mwaka jaan ndyo wameanzisha 5....na join instruction yao...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Nnaombeni kujuzwa hivi join instructions za form five Ni kuwa unachukua internet na ku'print au wanakutumia kwenye p.o.box la mzazi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tahasusi yenye ajira nyingi na yenye urahisi wa kuchepukia kwenye kazi nyingine kati ya PCM na PCB

    Ningependa kujua pia pcm kwa ugumu unaolalamikiwa na wengi ...kwann wengi wanaikimbilia ?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tahasusi yenye ajira nyingi na yenye urahisi wa kuchepukia kwenye kazi nyingine kati ya PCM na PCB

    Nmepata point nliyokuwa nikiitafuta kwa mda mrefu.....shukrani sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tahasusi yenye ajira nyingi na yenye urahisi wa kuchepukia kwenye kazi nyingine kati ya PCM na PCB

    Tafadhalini nlikuwa naomba msaada wa kujua kati combination ya PCB na pcm ipi ina'apply kazi kirahisi (haina kukaa nyumbani Sana baada ya kumaliza chuo)....Na pia inauwezo wa kuchepukia kazi za combination nyingine kirahisi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Majambazi yapora mabilioni ya shilingi

    Michongo2 kwann polic wasishtuke wanavunga2
Back
Top Bottom