Tahasusi yenye ajira nyingi na yenye urahisi wa kuchepukia kwenye kazi nyingine kati ya PCM na PCB

Apr 16, 2014
12
2
Tafadhalini nlikuwa naomba msaada wa kujua kati combination ya PCB na pcm ipi ina'apply kazi kirahisi (haina kukaa nyumbani Sana baada ya kumaliza chuo)....Na pia inauwezo wa kuchepukia kazi za combination nyingine kirahisi
 
Mdogo wangu, Combination haisaidii lolote kwenye Ajira.

Combination inakupa tu Mwanga wa Kozi utakayosoma Katika ngazi Chuo Kikuu.
Unaweza kusoma Combination hizo alafu ukaja kuangukia kozi ambayo itakulaza tu kitaani.

Cha msingi, Focus unataka kuwa nani huko mbeleni? Je, utalipenda kufanya kazi gani baada ya kuhitimu elimu yako?

Kama utalipenda kuwa Daktari, go ahead with PCB. Kama utalipenda kuwa Mhandisi, nenda na PCM. Kuna kozi nyingi tu kutokana na combination hizo. Cha msingi ni kujitambua wewe utalipenda kuwa nani mbeleni.

Kusoma PCM/PCB hai-gurantee kuwa hutakaa mtaani. La Hasha!. Ni kudra za Mwenyenzi Mungu tu.

Kuna ambaye anaweza kusoma HKL na baadae kozi fulani Chuoni, lakini hata hajamaliza Chuo tayari ana nafasi sehemu fulani na mshahara wa Maana.

Omba Mungu akuongoze katika Chaguo sahihi.
 
Umesema ukweli mtupu lakini pia kama una nia ya kuajiriwa jitahidi sana uhakikishe unaweza kujieleza vizuri kwa ufasaha whether ni kwa kiswahili au Kiingereza....

lakini pia kazi ya kuajiriwa unaanza kuitafuta ukiwa hapo shuleni kama una nia ya kuwa daktari hakikisha unajiunga na clubs za kidaktari hapo chuoni hali kadhalika kama unataka kuwa mhandisi basi fanya activities za kihandisi hata kwa kujitolea ikiwemo kujiunga na clubs au taasisi zenye mlengo wa sawa na kitu unachotaka kufanya....

watu wengi pamoja na kuwa huwa wana grades nzuri hushindwa interview kwa kushindwa kujieleza kwa ufasaha au CV zao kutakuwa na kitu chochote interesting kwa muajiri.....

kuna mambo mengi ya kuzingatia na pengine nimeenda nje ya mada lakini natumai huu ushauri wangu mdogo utakusaidia kama ambavyo umenisaidia mimi
 
Kwa mtoa thread hii comment ina ushauri wa kuzingatia sana
 
Angalia unapenda somo gani.. Yaani moja kati ya Biology or Mathematics..! Kama unapenda hesabu basi PCM itakufaa na kama unapenda Biolojia basi PCB itakufaa..! Ila angalia katika huo uchaguzi wako maana daah advance haijambo katika kuwaharibia watu malengo yao..! Just uwe mvumilivu tu na misuli ya advance..!
 
Kijana kama unataka kwenda kusoma PCM au PCB ili upate urahisi wa kuajiriwa unapoteza muda ,

Kaa utulie na ufikirie unataka kuwa nani hasa na sio utalipwa vipi,

na kama unataka pesa anza kufikiria kujiajiri mapema
 
Mdogo wangu, Combination haisaidii lolote kwenye Ajira.

Combination inakupa tu Mwanga wa Kozi utakayosoma Katika ngazi Chuo Kikuu.
Unaweza kusoma Combination hizo alafu ukaja kuangukia kozi ambayo itakulaza tu kitaani.

Cha msingi, Focus unataka kuwa nani huko mbeleni? Je, utalipenda kufanya kazi gani baada ya kuhitimu elimu yako?

Kama utalipenda kuwa Daktari, go ahead with PCB. Kama utalipenda kuwa Mhandisi, nenda na PCM. Kuna kozi nyingi tu kutokana na combination hizo. Cha msingi ni kujitambua wewe utalipenda kuwa nani mbeleni.

Kusoma PCM/PCB hai-gurantee kuwa hutakaa mtaani. La Hasha!. Ni kudra za Mwenyenzi Mungu tu.

Kuna ambaye anaweza kusoma HKL na baadae kozi fulani Chuoni, lakini hata hajamaliza Chuo tayari ana nafasi sehemu fulani na mshahara wa Maana.

Omba Mungu akuongoze katika Chaguo sahihi.
Sina la kuongezea, ushajaza kila kitu..

Dogo umejazwa??
 
Vijana wengi sasa hivi mnasoma mkiwa hamjui wito wenu na nini unakipenda katika maisha yako.
Unatakiwa ukae utulie uangalie nini unakipenda na nini wito wako. Usiende kusoma combination ukiwa unawaza kuajiriwa tu na kupiga hela. Waweza kuambiwa PCB inaajirika, ukasoma na form 6 ukashindwa kufanya vizuri kwa sababu umevamia kwa mkumbo wa kutaka hela. Au waweza kuwa Daktali au nesi anayependa hela na kuomba rushwa kwa wagonjwa wanaoelekea kukata roho! Hiyo ni mbaya sana, combination nzuri inatokana na wewe unapendelea nini, usiende tu kwa mkumbo kisa baba au mjomba kanishauri nisome PCM au PCB kisa kuna hela, hujui kuwa kuna madaktali na Wahandisi mitaani hawajaajiriwa na wanafanya kazi nyingine kabisa na walichokisomea? Na ukiwachunguza asilimia kuwa utakuta ni wale waliokwenda kwa mkumbo kama wewe dogo
 
Nakushauri nenda kasome PCM ikiwa tu, unamudu physics vizuri.
Dunia ya sasa usijiegemeze zaidi kwenye kuajiriwa. Hamisha kabisa hayo mawazo mdogo wangu yatakufanya uishi ktk simanzi.
Kakomae na Physics na Maths hii itakujengea mazingira ya kujiamini katika ulimwengu wa communication technology. Biashara katika dunia ya sasa inatawaliwa na Teknohama, ukiwa mjuzi katika nyanja hizi, utawadaka na kudakwa na wengi sana. Hata ukiamua kujiajiri mwenyewe, usishangae kudaka mtaji overnight.

Halafu majukumu ya kidaktari kwakeli yanakulazimu muda mwingi uwe mtu wa kujitoa kusaidia wagonjwa kiasi kwamba huwezi kufurahia maisha nje ya kazi.
Tofauti na ku expertise kwenye nyanja za technology kwamba unaweza kuresolve masuala nyeti pasipo ulazima wa kuwepo eneo la tukio.

Btw huu ni mtazamo wangu tu!
 
Nmepata point nliyokuwa nikiitafuta kwa mda mrefu.....shukrani sana
 
Tafadhalini nlikuwa naomba msaada wa kujua kati combination ya PCB na pcm ipi ina'apply kazi kirahisi (haina kukaa nyumbani Sana baada ya kumaliza chuo)....Na pia inauwezo wa kuchepukia kazi za combination nyingine kirahisi
Siku hizi hufanyii kazi ulichosemea ...ni uharaka.tu wa akili yako.kumaster mambo
 
Back
Top Bottom